Ukifungua akaunt crdb wanakupa choice ya kuchagua visa or mastercard. Ukishapata atm card unaomba huduma za internet banking then wanakupa 4m unajaza and ndan ya 24 hrs unakuwa tayar umeshaunganishwa.

na hiyo internet banking is the same as mobile banking japo kuna slightly different ila ipo very sensitive unapolog in hewani maana kama unatumia hizi piraty software za ku crake sikushauri unless waja lia una geniune kwenye pc yako .

hey bro nenda website hii http://paypal.com then fungua account halafu link account yako ya benk na account yako ya paypal then ukifanya transaction ya internet utumie paypal so visa au master card.

Ukumbuke online transaction kadi yako haina password wakipata details zako wanadraw annytime hela zako

master card unapata baada ya wiki 2 hadi 3 crdb
asante sana naelewa kuhusu hivyoona hiyo internet banking is the same as mobile banking japo kuna slightly different ila ipo very sensitive unapolog in hewani maana kama unatumia hizi piraty software za ku crake sikushauri unless waja lia.
atm card unalipia shs ngapi?Ukifungua akaunt crdb wanakupa choice ya kuchagua visa or mastercard. Ukishapata atm card unaomba huduma za internet banking then wanakupa 4m unajaza and ndan ya 24 hrs unakuwa tayar umeshaunganishwa.
Mkuu kwanza kabisa nenda crdb waactivate card yako for online purchases itakuwa tayari after 24hrs, baada ya hapo ndio unafungua akaunti ya paypal hauwezi kufungua acc ya paypal bila crddb kuactivate card yako elewa hicho kitu kwanza,kuhusu acc ikae na sh ngapi inategemea unataka kununua kitu gn onlne,kama unataka kununua kitu cha dola 500 basi account yako isizidi sh laki 8 za kitanzannia coz hao paypal huwa wana currency convertor kutoka kiwango chochote cha fedha duniani,usiweke pesa nyingi kwenye acc yako kwa sababu hao wazungu wenyewe ni wajanja sana na unaposaini crdb kuhusu online shopping crdb hawatahusika na upotevu wa pesa kwenye acc so kuwa makini sana,nasema hivi coz mimi ni mtumiaji mzuri wa hii huduma ya online na najua mazuri na mabaya yake.na hakuna mtu alionijibu kuhusu initial deposit kwa usd account

atm card unalipia shs ngapi?

mimi nlifungua student acc ambapo minimum opening fund ni elf 5. Na kwa sasa internet banking ni bure hawajaanza toza.
asante...sasa initial Deposit ya USD ac ni Dollar ngapi?Mkuu kwanza kabisa nenda crdb waactivate card yako for online purchases itakuwa tayari after 24hrs, baada ya hapo ndio unafungua akaunti ya paypal hauwezi kufungua acc ya paypal bila crddb kuactivate card yako elewa hicho kitu kwanza,kuhusu acc ikae na sh ngapi inategemea unataka kununua kitu gn onlne,kama unataka kununua kitu cha dola 500 basi account yako isizidi sh laki 8 za kitanzannia coz hao paypal huwa wana currency convertor kutoka kiwango chochote cha fedha duniani,usiweke pesa nyingi kwenye acc yako kwa sababu hao wazungu wenyewe ni wajanja sana na unaposaini crdb kuhusu online shopping crdb hawatahusika na upotevu wa pesa kwenye acc so kuwa makini sana,nasema hivi coz mimi ni mtumiaji mzuri wa hii huduma ya online na najua mazuri na mabaya yake.
asante...sasa initial Deposit ya USD ac ni Dollar ngapi?