Hawana muda wa kutoa ufafanuzi. Kwa huduma mbovu nadhani wanaongoza. Mimi nilishafunga akaunti yangu siku nyingi kwao. Nadhani zile dili za serikali zinawafanya wajisahau.
Nikiwa mjini Bujumbura niliiishiwa na fedha za kigeni na hivyo kuwa na shida ya kubadili takribani shillingi millioni 2 za Tanzania nilizokuwa nimebakiwa nazo mfukoni ili nipewe ama AMARUNDI au Dollar ili niweze kuendelea na maisha.Baada ya kuzungukia bureau kadhaa amabako walikataa fedha za Tanzania nilishauriwa niende kwenye benki ya CRDB kwani wana tawi kubwa katikati ya Bujumbura.I was shocked nilipoambiwa na ma teller ambao wote ni madada wa kirundi kuwa hawachukui fedha za Tanzania,nilisikia aibu na fedhea kubwa kuona benki ya Kitanzania ikikataa kupokea fedha za kitanzania,jamaa yangu aliyenisindikiza ambaye naye ni raia wa Burundi pia hakuamini alichokisikia,alifedheeka na kunishauri kuwa nitafute mtu anayeenda mpakani wa Tanzania na Burundi eneo laManyovu ili nikabadili kwa vijana wanaofanya hiyo baishara pale mpakani[black market]ndivyo nilivyofanya na jioni nikaletewa hela yangu japo rate ilikuwa mbovu sana.
Swali la kujiuliza je ni kwanini CRDB wanakataa kupokea fedha za Kitanzania,hata kama ni nje ya nchi?Pia customer service inaelekea ni mbovu kwani wale wahudumu wa Kirundi pale CRDB ni tofauti sana na wahudumu katika matawi ya Tanzania.
yes it is a Tanzanian Bnak but operates in another country....they have to follow have o adhere to Burundi`s financial laws
hatujasema wasifate sheria za nchi waliomo kwamba waoperate kwa currence ya TZS, no hapana.... tunachoshangaa sisi hapa ni kwann hawapokei TZS kwa kuibadilisha, mleta mada hakutaka kufungua account ya TZS alitaka kubadili tu apate currence ya nchi husika
Nikiwa mjini Bujumbura niliiishiwa na fedha za kigeni na hivyo kuwa na shida ya kubadili takribani shillingi millioni 2 za Tanzania nilizokuwa nimebakiwa nazo mfukoni ili nipewe ama AMARUNDI au Dollar ili niweze kuendelea na maisha.Baada ya kuzungukia bureau kadhaa amabako walikataa fedha za Tanzania nilishauriwa niende kwenye benki ya CRDB kwani wana tawi kubwa katikati ya Bujumbura.I was shocked nilipoambiwa na ma teller ambao wote ni madada wa kirundi kuwa hawachukui fedha za Tanzania,nilisikia aibu na fedhea kubwa kuona benki ya Kitanzania ikikataa kupokea fedha za kitanzania,jamaa yangu aliyenisindikiza ambaye naye ni raia wa Burundi pia hakuamini alichokisikia,alifedheeka na kunishauri kuwa nitafute mtu anayeenda mpakani wa Tanzania na Burundi eneo laManyovu ili nikabadili kwa vijana wanaofanya hiyo baishara pale mpakani[black market]ndivyo nilivyofanya na jioni nikaletewa hela yangu japo rate ilikuwa mbovu sana.
Swali la kujiuliza je ni kwanini CRDB wanakataa kupokea fedha za Kitanzania,hata kama ni nje ya nchi?Pia customer service inaelekea ni mbovu kwani wale wahudumu wa Kirundi pale CRDB ni tofauti sana na wahudumu katika matawi ya Tanzania.
nikiwa mjini bujumbura niliiishiwa na fedha za kigeni na hivyo kuwa na shida ya kubadili takribani shillingi millioni 2 za tanzania nilizokuwa nimebakiwa nazo mfukoni ili nipewe ama amarundi au dollar ili niweze kuendelea na maisha.baada ya kuzungukia bureau kadhaa amabako walikataa fedha za tanzania nilishauriwa niende kwenye benki ya crdb kwani wana tawi kubwa katikati ya bujumbura.i was shocked nilipoambiwa na ma teller ambao wote ni madada wa kirundi kuwa hawachukui fedha za tanzania,nilisikia aibu na fedhea kubwa kuona benki ya kitanzania ikikataa kupokea fedha za kitanzania,jamaa yangu aliyenisindikiza ambaye naye ni raia wa burundi pia hakuamini alichokisikia,alifedheeka na kunishauri kuwa nitafute mtu anayeenda mpakani wa tanzania na burundi eneo lamanyovu ili nikabadili kwa vijana wanaofanya hiyo baishara pale mpakani[black market]ndivyo nilivyofanya na jioni nikaletewa hela yangu japo rate ilikuwa mbovu sana.
Swali la kujiuliza je ni kwanini crdb wanakataa kupokea fedha za kitanzania,hata kama ni nje ya nchi?pia customer service inaelekea ni mbovu kwani wale wahudumu wa kirundi pale crdb ni tofauti sana na wahudumu katika matawi ya tanzania.
Pole ndugu, ila muhimu ni kuwa na akaunti CRDB...utapewa VISA/MASTERCARD itakayokuwezesha kutoa pesa kupitia ATM...PESA ZA NCHI UNAYOKUWEPO...MFANO HIZO MIL MBILI UNGEZIWEKA UKIWA HUKU TZ NAKUTOANikiwa mjini Bujumbura niliiishiwa na fedha za kigeni na hivyo kuwa na shida ya kubadili takribani shillingi millioni 2 za Tanzania nilizokuwa nimebakiwa nazo mfukoni ili nipewe ama AMARUNDI au Dollar ili niweze kuendelea na maisha.Baada ya kuzungukia bureau kadhaa amabako walikataa fedha za Tanzania nilishauriwa niende kwenye benki ya CRDB kwani wana tawi kubwa katikati ya Bujumbura.I was shocked nilipoambiwa na ma teller ambao wote ni madada wa kirundi kuwa hawachukui fedha za Tanzania,nilisikia aibu na fedhea kubwa kuona benki ya Kitanzania ikikataa kupokea fedha za kitanzania,jamaa yangu aliyenisindikiza ambaye naye ni raia wa Burundi pia hakuamini alichokisikia,alifedheeka na kunishauri kuwa nitafute mtu anayeenda mpakani wa Tanzania na Burundi eneo laManyovu ili nikabadili kwa vijana wanaofanya hiyo baishara pale mpakani[black market]ndivyo nilivyofanya na jioni nikaletewa hela yangu japo rate ilikuwa mbovu sana.
Swali la kujiuliza je ni kwanini CRDB wanakataa kupokea fedha za Kitanzania,hata kama ni nje ya nchi?Pia customer service inaelekea ni mbovu kwani wale wahudumu wa Kirundi pale CRDB ni tofauti sana na wahudumu katika matawi ya Tanzania.
Pole ndugu, ila muhimu ni kuwa na akaunti CRDB...utapewa VISA/MASTERCARD itakayokuwezesha kutoa pesa kupitia ATM...PESA ZA NCHI UNAYOKUWEPO...MFANO HIZO MIL MBILI UNGEZIWEKA UKIWA HUKU TZ NAKUTOA
AMARUNDI hapo Burundi.