I am a CRDB bank customer and a businessman.
And I laughed a lot when I heard Kimei saying they got financing from AfDB and they will use it to finance people even without collateral! Gimme a break, Kimei!
Wewe umeona leo? mdogo wangu aliweka fixed term deposit miaka ya 2000 mwanzoni, akasafiri, hakurudi kwa wakati, nashangaa ilipomature pesa yake badala ya kuiweka katika account yake after maturity, wakaiweka kwenye suspense sielewi kwanini, baada ya muda mdogo wangu anaenda kuulizia pesa yake IMELIWA NA MPAKA LEO NINAVOKWAMBIA TUMEHANGAIKA SANA TENA SANA ! PESA HAIJARUDI AMEAMUA KUMUACHIA MUNGU. NA NINA IMANI ATAMLIPIA KWA NJIA YEYOTE ILE. Ni pale Holland House, tumeenda kwa manager mpaka tumechoka! tena mwisho akawa anafoka , imagine ilikuwa mil 2 ya miaka 1999.

Manager wa holland ndie yule mweupe mweupe? mdondoshe kabahasha ka khaki pale table kwake ... next day mambo yenu yatakuwa safi!!!!
..Mkomatembo, labda kuna kitu sijaelewa. kwa nini mmeamua kumuachia Mungu awatolee adhabu? Ina maana hakuna mahali popote ama namna yoyote mnayoweza kutumia sheria kupata haki yenu? kwa nini muachie hela yenu iende kwa Vibaka waliovaa sare kirahisi hivyo???