Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,949
Hata mimi naona kuna upotoshwaji wa mambo hapa na wanajamii nao wanameza tu! siku hizi kuna competitions za kibenki kama ilivyo kwenye makampuni ya simu mnajuaje kama huyu mtoboasiri ni mdau kwenye benki nyingine na anaeneza sumu...? jamani kabla hatujaongea tuwe tunafanya uchunguzi wa kutosha na sio kuharibu makampuni ya watu for cheap popularity....With a light touch....
Hakyanani nam-sue mtu hapa leo! Revolution, hebu rudia tena?
On a serious note, kusema ukweli nina akaunti benki kadhaa (ikiwemo na CRDB) lakini ni ukweli pia kuwa huduma zao ni mbovu. Now take your pick between the following scenarios:
1. CRDB waendelee na uozo wao halafu eventually (because that's what will inevitably happen) wateja wawakimbie na benki (ambayo ni ya Kitanzania) ife ;
AU
2. Tuwaambie ukweli mchungu leo na wajirekebishe na kuboresha huduma (hivyo wa-retain na ku-attract wateja wapya) na waendelee kuwepo
Btw: Kwa wale msiojua ni kuwa Equity Bank inaanza operations hivi karibuni. Hii bank "imezinyorosha" benki zote Kenya na sasa wanakuja huku.Kina CRDB, NBC, NMB jiandaeni because you've been warned!