Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,571
- 21,533
Nilihama huko 2016 pole kwa kuchelewa kujua
Mm mwenyewe nilikuwa sijafuatilia hilo, ila kuna mdogo wangu nilimuuliza kuhusu hilo, akadai kuwa yeye siku nyingi analijua kuwa CRDB wana makato mengi na yasiyoeleweka, akasema kuwa yeye siku zote ndo maana huwa anatumia NMB.Karibu NMB benki ya Makabwela! Huku sisi hata buku 5 ikibakia, tunaweza kuihamishia kwenye simu halafu maisha yanaendelea kama kawaida.
Huko CRDB, huwa tunakuja kuvuta mikopo tu, tena ile ya wafanyakazi. Mikopo ya biashara, huwa tunarudi tena Nmb!!
Mbinu za kutojua wizi tunaofanyiwa.CRDB kigoma imekuwa km kautaratibu hawaweki karatasi za receipt kwenye ATM.. na hii ni purposely..maana hata uende alfajiri, asubuhi, mchana, alasiri, adhuhuri jioni, usiku au usiku wa manane hakuna risiti...
Umakini wa wateja ndo tatizo.Makato bank zote yako sawa.Mkuu nakushauri ucheki taarifa zako upya hakuna makato makubwa hivyo ya kuendesha akaunti,binafsi ni mteja waCRDB miaka 15 Sasa.
90.8 FM😀😀😀😀Mimi nakumbuka mwaka nipo advance form 5 nilkweka akiba kama elfu 20 tukafunga mwezi wa 12 lakini mwezi wa kwanza baada ya kufungua shule nilitaka kwenda kuchukua elfu 10 nilichokuta ni namba kama frequency za redio kwenda ofisin kwao wanasema huwa wanakata ku update account tangu apo nikawakimbia
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app