Habari wana JF
Nimeshangazwa na bank hii pale nilipoenda kufungua bank akaunt ya kikampuni changu kidogo nikaambiwa nilipie 22k Kama ada ya brela ku-certify kampuni yangu.
Kitu hiki kimenishangaza sana kwani katika vielelezo vinavyohitajika ili kufungua bank akaunt ya kampuni moja wapo ni Brela certificate, sasa Kama nimewapatia Brela certificate hii ada ya ku-certify Brela mnaichukua ya nini?
Mpaka TRA kunipa TIN ya biashara pamoja na TAX clearance ya kuchukulia leseni, nikwamba wao Kama mamlaka walijiridhisha kwamba kampuni yangu imesajiliwa Brela. Inamana CRDB bank mmeambiwa mfanye kazi za TRA?