CRDB Bank, huu ni wizi wa waziwazi

Kijoroo

Member
Mar 25, 2021
43
135
Habari wana JF

Nimeshangazwa na bank hii pale nilipoenda kufungua bank akaunt ya kikampuni changu kidogo nikaambiwa nilipie 22k Kama ada ya brela ku-certify kampuni yangu.

Kitu hiki kimenishangaza sana kwani katika vielelezo vinavyohitajika ili kufungua bank akaunt ya kampuni moja wapo ni Brela certificate, sasa Kama nimewapatia Brela certificate hii ada ya ku-certify Brela mnaichukua ya nini?

Mpaka TRA kunipa TIN ya biashara pamoja na TAX clearance ya kuchukulia leseni, nikwamba wao Kama mamlaka walijiridhisha kwamba kampuni yangu imesajiliwa Brela. Inamana CRDB bank mmeambiwa mfanye kazi za TRA?
 
Wahuni tu hiyo benki wanataka confirmation gani wakati una Certificate of Incorporation ya BRELA unayo?
Nenda kwenye benki nyingine ukafungue akaunti aisee.
 
Ndio uibiwe 22,000 na benki? Mwizi anakuambia kweli huduma anayotaka kukupa? We omba risiti ya hiyo 22,000, utapewa hapo benki.
Heri ungetumia neno lingine lakini sio wizi.
 
Confirmation lazma kama kampuni n hewa/ghost.Hyo n gharama ya Brela wao ata sio Bank.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app

Kama hii hela inaenda Brela, basi Brela wanatubebesha mzigo mkubwa, 22k ni nyingi mno kwa ku-certify usajili wa kampuni.wangeweka hata 500 kwani ikumbukwe kampuni hii inayotakiwa kuwa confirmed kwenye system ya Brela tayari imeshachajiwa hela nyingi tu za kutosha za usajili.
 
Habari wana JF

Nimeshangazwa na bank hii pale nilipoenda kufungua bank akaunt ya kikampuni changu kidogo nikaambiwa nilipie 22k Kama ada ya brela ku-certify kampuni yangu.

Kitu hiki kimenishangaza sana kwani katika vielelezo vinavyohitajika ili kufungua bank akaunt ya kampuni moja wapo ni Brela certificate, sasa Kama nimewapatia Brela certificate hii ada ya ku-certify Brela mnaichukua ya nini?

Mpaka TRA kunipa TIN ya biashara pamoja na TAX clearance ya kuchukulia leseni, nikwamba wao Kama mamlaka walijiridhisha kwamba kampuni yangu imesajiliwa Brela. Inamana CRDB bank mmeambiwa mfanye kazi za TRA?
haya ndio yale yale ya mwanasheria ku certify vyeti vilivyotolewa na NECTA, NACTE au vyuo vilivyochini ya TCU
 
Habari wana JF

Nimeshangazwa na bank hii pale nilipoenda kufungua bank akaunt ya kikampuni changu kidogo nikaambiwa nilipie 22k Kama ada ya brela ku-certify kampuni yangu.

Kitu hiki kimenishangaza sana kwani katika vielelezo vinavyohitajika ili kufungua bank akaunt ya kampuni moja wapo ni Brela certificate, sasa Kama nimewapatia Brela certificate hii ada ya ku-certify Brela mnaichukua ya nini?

Mpaka TRA kunipa TIN ya biashara pamoja na TAX clearance ya kuchukulia leseni, nikwamba wao Kama mamlaka walijiridhisha kwamba kampuni yangu imesajiliwa Brela. Inamana CRDB bank mmeambiwa mfanye kazi za TRA?
Pole sana mkuu.. ila ungejaribu kuuliza kwa watu zaidi uenda ndo utaratibu ulivyo kuliko kuhukumu kwa kuwaita wezi au lah basi omba risiti tu ya iyo hela kama watakua wamekupiga unaweza ukawarudia.. anyway kama kuna nafasi za kujitolea katika iyo kampuni yako nipo hapa mkuu napatikana muda wowote
 
Kibongo bongo unatafuta kazi ya kujitolea then una enenda kinyume na boss??

Una otaaaa we mkaka/mdada unaotaaa
 
Hizi taasisi itafika wakati watatuchaji gharama za NIDA, maana kwa sasa wao ndo wanawalipa NIDA
 
Back
Top Bottom