😂😂😂😂😂Haki nataman ingekuwa mchana niachie cheko kubwa khaaa watu mna matukioTulizinguana na kiranja mmoja mnoko sana yanii(labda ndo mana sa hivi ni afsa pale k/nyama) ...Akanchomea kwa displini masta,nkapewa kipande nchimbe shimo urefu wa yule kiranja...nkachimba for five days(nalegalega nsiingie klas). Sasa ule mchanga nlouto nkatengeneza kama kaburi na nkatafuta msalaba nkaandika jina lake nkauchomeka..nkaenda class, kama baada ya nusu saa tukaskia yowe kubwa uuuuuuuuwiiii jamani "kahawa ya njano" kaniuaaaaaaa.... Basi class zote zilizoskia zikatoka pamoja na walimu....
Kilichofuata ni SPAA na nlivorudi jina likaandikwa BLACK BOOK na viboooko vingi sana..
.na baada ya muda wakagundua tena mzazi nliemleta nimemnunua(mzee mmoja mishentown,)ambaye kwenye sekeseke lile alintoroka...
Ndo ukawa mwisho wangu pale kwenye ile shule ya KIKATOLIKI
Wz. Ncfw cxxlxxxmdx nfxniooi xok rcx ddhhxd xeexx,kkzb xx xiosKupiga chata kwa mavi, AKUMBUKWE LUCCHESE
Daah, barida mkuu kama tumeanza kutukanana kwa kirumi. Namimi nakutukana kigogo, TOKODYASOGOVg xn nohtxWz. Ncfw cxxlxxxmdx nfxniooi xok rcx ddhhxd xeexx,kkzb xx xios
Ss.s.eo.oxotf
Yaani nyie watu,nimecheka kwa sauti kabisa! Eti mama nilikuua★Mimi hii ilinitokea kipindi nipo Form 4 (2012) ilikuwa Mocko Mkoa nikapiga Literature na English 20% kwa 22% na sio kawaida washazoea ni mtu wa 80~96 huko nikaitwa Staff nipigwe Collaboration nilipoona Fimbo zimezagazwa zakutosha na walimu wamekamia wanichape Nikaanza kutoa chozi nikasema Kipindi nafanya Mtihani nilifiwa na Wazazi wote wawili kwa ajari ya gari tena nalia haswa cha ajabu nilikuwa Boarding ko taarifa lazima zingeletwa waalimu bila kufikiri wakaachana na swala lakunichapa wakaanza kunipoza wakanipa na Rambi Rambi [emoji23] .
Kilichinisitua waliposema watangaze shule nzima wajue nikasema hiki kisanga sasa nikagoma nikasema ishapita achaneni nayo, nilipo enda likizo nyumbani nikamuomba MaMa samahani akauliza yanini nikamwambia nilikuuwa akasema kivipi? Nikajielezea Alicheka mpaka Kichomi kikamshika [emoji23]★
Yaani nyie watu,nimecheka kwa sauti kabisa! Eti mama nilikuua
Ee?★Acha tu mkuu walimu walikuwa wamepania sana kwa makasiriko nikawa sina namna [emoji23][emoji23]★
Mkuu kumbe umepiga chataNilichokigundua ni kwamba Watanzania haswa vijana tulipokuwa shuleni basi tabia zetu, mienendo yetu karbia yote ilikuwa sawa, nakumbuka enzi za shule siku za disco, ni ubishoo hadi basi, siku za mikusanyiko za sherehe za dini, za shule na pale shule X ilipokuwa inakutana na shule Y kwakweli hali ilikuwa ni tofauti(RUGAMBWA SECvs IHUNGO SEC) kwakweli hapa siwezi kusahau tulipokuwa tunakutana.
Ah ah aha h nimecheka sanaRum six mido pale Soweto (Ujamaa) palikuwa si pakwenda kwa wale nyoya (wenye baa nyekundu moja begani - fomu wani!!) wadau nadhani mtakuwa mnakumbuka kwamba Ujamaa ni bweni lililokuwa likiongoza kwa kutrotisha (kuwasumbua) fom nyonya miaka yote! Ikiwa pamoja na kumwagiwa bichi (maji machafu), kupigwa chaga usiku au kuingizwa lokani).
Lakini kilichonichekesha zaidi ni kumkumbuka UNYAMA UNYAMA (ticha wa mota vehicle) aliyekuja Soweto kuamsha watu alfajiri siku moja akiwa mwalimu wa zamu, halafu akasikia sauti ikitokea floor ya juu kabisa ikimwambia "Unakuja kutumbusua asubuhi yote hii kwa sababu nyumbani kwako hapakaliki, wakati wenzako wanachagua wake wazuri wa kuoa we ukachagua kipori, matokeo yake unashindwa hata kulala nyumbani kwako" UNYAMA UNYAMA akajibu "Wewe unaeongea hivyo kama kweli ni mwanaume na unajua wanawake wazuri kuliko mimi shuka hapa chini tuonane"
Kituko kilikuwa kitamu yaani mpaka ilibidi jamaa waigize siku graduu!!
Ebwana nimekumbuka mambo mengi sana,
Big up sana kwa mameni KABOTA, MAGERE, MSASA, KATUNZI, mzushi TETE, KAMEME, mchungaji ISHENGOMA.
[emoji120][emoji120]ubarikiwe.Shallom wapendwa!
Hii ni app nzuri sana kwa kudownload nyimbo za kumtukuza Mungu kama za kusifu, kuabudu,tenzi za rohoni, kisabato na kikatoliki. Inapatikana playstore bonyeza link >>
View attachment 1776887Wakristo Music - Apps on Google Play
Wakristo Music app bring you to globe wide by praise Lord through gospel musicplay.google.com