ChimpuluNchimbi
Member
- Jun 5, 2017
- 95
- 123
Ukifanikiwa kutembelea nchi ya Uganda utakutana na simulizi nyingi za kupendeza kumhusu ndege mtanashati na mwenye mvuto sana.. Ndege huyu anaitwa Crane.
Kwa taifa la uganda anapewa nafasi kubwa kama kivutio cha utalii na pia anasimama kama nembo ya taifa la uganda
Crane amepewa hadhi kubwa katika taifa hilo hadi kufikia hatua ya timu yai ya taifa kupewa jina la the cranes na pia hata ukitazama national flag yao ngege huyo huonekana pia..
Sent using Jamii Forums mobile app