Crack Google play store

Abu_yazid

JF-Expert Member
Mar 28, 2014
3,436
4,241
Habari ya maisha wanajamii...
Nataka kuicrack app ya Google play store kwa kutumia lucky patcher, lakini naomba kuuliza je kunaweza kuleta matatizo kwenye simu, na kuna ambaye alishawahi fanya hii kitu
cb7ead93ff6073175968973bbaa8aafb.jpg

3862de2eecf9b8db3630e0525bb9a3db.jpg

f5e180e7a37c66d46b7a91783ba5d962.jpg
 
Ucrack Google Play kwani inauzwa?
App ipo na ni free. Wewe kama unataka kupata apps nyingine kwa free basi crack hizo apps, kucrack play store haimaanishi utapata apps nyingine zote kwa free.
Alafu kua makini, cracking sio kitu kizuri mara nyingin unajikuta unadownload virus.
 
Asnte kwa kumuelewesha maana alipo lala leo sijui tu lucky partcher hahahahhahahaha
 
Na akili yangu huwa inawaza pengine unapoicrack Google play store... Basi zile paid app unapakua tu huna haja ya kuanza process za kulipia.... Dah kumbe sio nilikuwa nawaza vibaya
 
Na akili yangu huwa inawaza pengine unapoicrack Google play store... Basi zile paid app unapakua tu huna haja ya kuanza process za kulipia.... Dah kumbe sio nilikuwa nawaza vibaya
kuna baadhi ya apps hasa games zinafanya verification google kama zimelipiwa ama la,

unapocrack playstore unabypass hio verification.

playstore maarufu ambayo ipo cracked ni ya chelpus, na chelpus huyo huyo ndio alietengeneza luckypatcher.
 
Kama unataka paid apps for free download appvn kwa kutumia browser ya kawaida then ingia playstore chagua paid app then scroll down kwenye icon ya kushare then share na appvn then itajidownload
 
Habari ya maisha wanajamii...
Nataka kuicrack app ya Google play store kwa kutumia lucky patcher, lakini naomba kuuliza je kunaweza kuleta matatizo kwenye simu, na kuna ambaye alishawahi fanya hii kitu
cb7ead93ff6073175968973bbaa8aafb.jpg

3862de2eecf9b8db3630e0525bb9a3db.jpg

f5e180e7a37c66d46b7a91783ba5d962.jpg
Acha ni hatari utaharibu simu nilishawahi, Play Store itakufa mazima hadi Ureset
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom