Corona ipo uko kwao,ndo maana wamekimbilia uku.Hawatak muwapelekee corona
Haa Haa has kwa hyo bongo hamnaCorona ipo uko kwao,ndo maana wamekimbilia uku.
Itajijua yenyewe kama ipo au aipo,sisi tunatwanga na kupepeta.Haa Haa has kwa hyo bongo hamna
Wamefuata Visit TanzaniaWamefata nini sasa hapa kwetu?
Atakupiga mitiSenzo hajaenda kuwasalimia mamelod?
Kwa hiyo wameamua kuja kutuharibia uwanja wetu, sio?
Kwa hiyo wameamua kuja kutuharibia uwanja wetu, sio?