CR Belouizdad vs Mamelodi Sundowns kupigwa Bila Watazamaji

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,451
29,128
FB_IMG_16143464283221370.jpg
 
Hawa 'tiiefuefu' hawawezi hata kutoa taarifa 'kiprofeshino' kwanini?

Walishindwaje kusema kuwa hakutaruhusiwa mashabiki kwenye taarifa ya mwanzo?

Wakisema na sababu waliyoambiwa na waliowaomba kuchezea kwa Mkapa,tz watapungukiwa nini?
 
Imekuwaje watupangie tena wakati ni kwetu.... 🤔🤔Kwanza hata wangetaka watazamaji tusingeenda 😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom