CPA

CPA

Sasa kwani mimi niliandikaje Mkuu?
Rudi tena kunisoma utanielewa. Nisome kwenye #5 na pia conclusion yangu #16 utanielewa. By the way nilivyoandika Intermediate nikaelezea ni Module A ulitakiwa uelewe nazungumzia utaratibu wa Zamani. Sasa mbona umechukua tu neno Intermediate ku conclude kua sio sawa but ukaacha "Module A" iliyoko kwenye mabano?

Anyway, huu ulikua mfano jins Exemptions zinavyofanyikaga.
Kwaio kwa mfumo wa saiv intermediate level itakua mda mpaka kuimaliza? Coz nimeona kuna sehemu waliandika kwa foundation wanasoma masomo 4 alafu intermediate wanasoma masomo 5 but mda unaotumia hadi kumaliza level moja kwenda nyingine endapo utapiga fresh
 
Back
Top Bottom