CPA next intake registration & Qualifications

muuza ugoro

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
334
59
waafrika wenzangu habari. nina mdogo wangu ana dploma in Accountancy ya TIA, sasa vp anaanzia module gani cpa na cost zake, ratiba ya vpindi, centre nzuri, ada, registration lini?
Nb. kwa sasa yupo Dar!
pls advice.
 
Ataanzia module C sema atatakiwa awe na credits tatu za olevel

Mkuu una uhakika?

Kwa nijuavyo mimi atatakiwa kuanzia Module A - D kama ana dipoloma au ATEC II.

Kuhusu suala la ratiba, na gharama hizo ni za wewe na Centre unayosomea. Nyingi zinacharge 300,000.00 kwa module moja mfano A au E n.k

Gharama za mtihani wa bodi ni kama Tsha 150,000.00 ukiacha registration na matakataka mengine ambayo yote yanaweza kuaccumulate Tshs 175,000.00.

Akimaliza Module D ndiyo anaingia Final Stage ambayo ni E & F ambayo akifaulu ndiyo anakuwa qualified CPA (T).

Huyo mdogo wako anakasafari karefu kidogo.

Ushauri.

Usikwepe gharama mpeleke mdogo wako Advanced Diploma katika chuo chochote kile kama IFA, TIA nk.
Akimaliza atanzia module E, kwa maana nyingine A - D ni equivalent na Advanced Diploma.
 
yeah nna uhakika mkuu, diploma in accountancy anaanzia module C
 
4 wat i knw. dploma wanaanzia mod c. Wanaoanza na A ni wale fresh frm skul. hv akimaliza cpa c anaweza join mastaz?
 
Back
Top Bottom