VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,611
- 13,177
Wasomi na watalaamu wazawa Rwanda wanafanya ubunifu kuunda kifaa hewa muhimu tiba corona wanadai kimeonyesha ufanisi mkubwa wa viwango vya kimataifa.Naomba kujua wataalam wa Kitanzania wanafanya nini kusaidia taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app