COVID-19 yatua Kigoma

COVID-19 yatua Kigoma

kwani aliyewaambieni Corona iliisha ni nani , jiongezeni akili za kuambiwa changanya na zakwako dudes
 
739409908.jpg
 
Iv wanaficha ili iweje? Naona hata Jf wanawasaidia kuficha
Mimi nina corona na leo ni sku ya nne niko kitandani napambana nayo
Nimeweka uzi ili watu wajifunze wachukue tahadhali naona mods wameufuta
Totally upuuzi
 
Koona Ni hatari..... chukua tahadhari
 
Back
Top Bottom