Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,174
- 48,459
Kwa mujibu wa Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali (Mstaafu) Emmanuel Maganga tayari mkoa huo umeshapata mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 na wengine zaidi ya wanne sampuli zao zimepelekwa Dar es salaam kwa uchunguzi zaidi
Chanzo: Ayo TV
Chanzo: Ayo TV