Siri kubwa ya watanzania ni serikali kuhimiza wananchi kujifukiza na kutumia matunda kama malimao, vitunguu maji, vitunguu swaumu, tangawizi, mchaichai na mengine mengi, siri ya vitu hivi ni kuongeza kinga mwili tena kwa kasi ya ajabu.
Wakati ugonjwa ulipoingia Serikali ya Tanzania ilikuwa busy kumwomba Mungu na kuhamasisha wananchi kutumia hivyo vitu, matokeo yake wananchi wamejenga kinga imara na kwa sasa matunda haya yamekuwa mila na desturi kwetu sasa asubuhi ukiamka hatunywi tena chai ya kawaida kwenye kinywaji cha asubuhi lazima kuwe na limao, tangawizi, garlic na onion.
Na wakati Kenya, Zambia , Rwanda na Uganda walifunga mipaka supply ya matunda, spices , vegetables kwenye masoko yetu ya Tz ikawa juu na price ikashuka wananchi wakapata unafuu wa kununua hayo matunda. Kwa ufupi naweza kusema si kwamba Covid haikuwepo Tanzania nop ilikuwepo lakini kila ikijaribu kuingia inakutana na strong body inatokomea na sasa sisi ni COVID-19 free country na hilo ndio unique method aliyotumia Presidaa wetu Dr John Pombe Magufuli ambaye kama kweli wazungu wanajali wamtunuku MEDALI.
Kwa hiyo ndugu kwa swali lako la “Kitu gani cha maana ambacho tz, wamefanya wao wameshindwa? ” Ni kama nilivyoeleza hapo juu Kusali na Kutumia mimea, na sisi hatukuwaiga wao.
Hakuna kitu kibaya dunia kama kumpa mtu wasiwasi na kumwogopesha na kumfungia ndani hiyo tu ni mauwaji. Corona inahitaji Mwili uwe na mazoezi na akili isiyolala