fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Wewee... corona hakai kwenye nguo! Within hours anakufa!Watetezi huwa hamkosi, kwani ukijizuia kuvaa hio mitumba mpaka mlipuko udhibitiwe utakosa nguo za kuvaa? Watanzania wanamakabati ya nguo na viatu wasizozivaa zinaliwa tu na panya.Inawzekana hata wewe kuna nguo huzivai labda zimekuruka nk wape wahitaji wavae.Waafrika watu wa hovyo sana humu duniani ndio maana tunadharaulika hata na vikaragosi vya Asia.Kuvaa mitumba hata bila corona ni udhalilikaji wa hali ya juu.Mwanaume mwenzio avae chupi wewe unaenda tena kuivaa, ni ajabu sana!!!