Covid 19 na wanachadema wengine mlio gombea CCM ubunge, kwa sababu ya tamaaa zenu! Mkienguliwa huko, msililie Maana mmekataa NRNE

Covid 19 na wanachadema wengine mlio gombea CCM ubunge, kwa sababu ya tamaaa zenu! Mkienguliwa huko, msililie Maana mmekataa NRNE

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,106
Reaction score
3,027
Watanzania wote hatutawasikiliza mkipigwa chini huko ccm kwenye kura za maoni. Mmekataa masilai ya taifa , mmetanguliza matumbo yenu,
Ivi mhajifunzi kwa yule makamu wa zanzibar mwaka 2014 akisimama upande wa haki, mfumo wakamtimbua kama mwasheria wa serikali, karma ikamkumbuka leo hii ni makamu wa rais zanzibar.
Wanasiasa acheni tamaaa, na ubinafsi, simamieni haki.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
 
Back
Top Bottom