#COVID19 Covid-19 itatumaliza, Wizara ya Afya imekaa kimya kama vile haipo


Lawama si sawa, kuna chanjo kapigeni lawama za ki ngese kwenye serikali muache
 
Wizara ituambie imekuaje Hans amefariki kwa covid wakati alikua amechanjwa?

Maana wanatuambia chanjo inazuia vifo, maumivu, kulazwa hospitali ama kuwekewa mashine ya kupumua, sasa ilikuaje Hans akawekwwa mashine na akafariki huku amechanjwa?
Wakuambie kama Nani? Unaweka demands na kuuliza maswali ya kijinga halafu bado wakikujibu hutochanja vile vile. Mbona ni rahisi tu kutochanja na kuendelea na maisha kimya kimya kama mamilioni ya wenzako wanavyofanya?
 
Israeli ni nchi iliyochanja kuliko nchi yoyote duniani. Sasa hivi ndiyo inayoteseka kuliko ncho yoyote KWA UVIKO-19. Hivyo ndivyo mtu anayeenda harakaharaka atakavyosema. Lakini suali la msingi ni kuwa wanateseka kwa uviko 19 au wanateseka na chanjo? Sasa hivi wanaongelea kuchoma booster ya nne. ------------ hadi siku dunia itakapoamka ndipo itapona. Vinginevyo inajiingiza yenyewe kwenye mtego wa eugenists kisha inalaumu uviko-19. Je, huyo aliyekufa si alichanjwa? --- READ BETWEEN THE LINES.
 
Wizara ituambie imekuaje Hans amefariki kwa covid wakati alikua amechanjwa?

Maana wanatuambia chanjo inazuia vifo, maumivu, kulazwa hospitali ama kuwekewa mashine ya kupumua, sasa ilikuaje Hans akawekwwa mashine na akafariki huku amechanjwa?
We jamaa umehamia bandiko hili?,kuna bandiko wadau wamekuambia hakuchanja bado tu unaendelea na ligi yako...
 
Bahati mbaya nchi haina rais, tuna muimba taarab tu
 
Huyo Waziri aliyepo ni kimeo, hiyo nafasi inataka mtu creative na mwenye commitment, mbona Ummy alifanikiwa vipi huyu?
 
Na kweli kabisa. Watu wanaokataa kuchanja kwa kumsikiliza Gwajima, wana tofauti gani na wafuasi wa Kibwetere waliochomwa moto?
 
Serikali imetoa Chanjo.

Wanaotaka kuchanjwa wachanjwe

Wasiotaka kuchanjwa, wasichanjwe.


Yaan unajipima tu .
 
Wabongo hawajielewi wakiambiwa Corona ipo fuateni ushauri wa wataalamu wa afya hawataki hata barakoa hawavai mtu akionekana amevaa anaonekana ni kama mwehu wanadai Magufuli aliindoa kwa kuwatoa hofu watu sasa mmeona watu wanazidi kuteketea mnalalamikia tena serikali, mnataka ifanye nini? Endeleeni tu kumuabudu yule mdanganyifu aliyejiondokea zake.
 
Yan akiri za wabongo ni fyatu,kipi ambacho hujaelezwa kuhusu korona .Kwa ujinga wako watu wakalie korona kana Kwamba wizara haina majukum mengine.afya na usalama vipo mikononi mwako
 
mikutano ya kiinjili ifungwe kwa sababu Corona hebu futa hayo maneno
 
Chanja wewe usimalizike!! Tena chanja kwa wembe !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…