Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,805
- 3,085
Thibitisha kuwa alichanjwaWizara ituambie imekuaje Hans amefariki kwa covid wakati alikua amechanjwa?
Maana wanatuambia chanjo inazuia vifo, maumivu, kulazwa hospitali ama kuwekewa mashine ya kupumua, sasa ilikuaje Hans akawekwwa mashine na akafariki huku amechanjwa?