Ujinga mtupu hapo umeandika. Wagonjwa wameongezeka kutoka idadi ya mtu mmoja hadi leo kufikia147 halafu unaandika upupu hapa kuwa eti tumejipanga vizur. Kweli wew jinga lao kama jina lako lilivyo. Tena hapo idadi hiyo inaweza ikawa imechakachuliwa.Niwasalimu wadau wa Jf!
Nirudie tena kwa kusema kuwa Tanzania pamoja na umasikini wake ilijiandaa vyema katika kukabiliana na majanga .maandalizi makubwa na yanayoendana na umasikini wetu ni katika well coordination ya kukabili majanga.
coordination is the key and the best way to achieve katika mapambano.
Mapambano dhidi ya COVID 19 ni mapambano ya kijeshi na askari muhimu ni kada ya afya.Hadi sasa these health workers soldiers have done their job intellectually na nguvu za Mola watatuvusha salama.
Hadi sasa viongozi wa siasa hawajataharuki...kwa kuwa jeshi kamili la Afya halijataharuki na linafanya kazi kiweledi kitu ambacho kinawapooza wanasiasa na jamii.
Kimsingi mlipuko huu wa COVID 19 unafuata kanuni/hatua za kawaida za milipuko yaani epidemic curve...ninamaanisha mwanzo -kilele -na kishuka.
Nimefiatilia kwa karibu mwenendo wa mlipuko huu nchini Tanzania na pia nimefuatilia mbinu za makabiliano zilizofanyika.
Uchunguzi wangu umeonesha kuwa kama Taifa tulijipanga...kwa kuwa case ya kwanza ilikuwa handled vizuri sana.
control ya mlipuko katika jiji la Dar es salaamu hapo awali ilikuwa laini ingawa baada ya cases kuongezeka walijitambua na kuufata mpango kazi maalumu wa kupambana na majanga.
Kwa sasa tupo ama tunaelekea kwenye kilele cha mlipuko(peak)
Tutegemee next week/2 weeks kuwa na spike ya cases ..hii haisharii uzembe bali natural course ya epidemic .tutegemee vifo kadhaa pia kama sehemu ya peak of this curve.
baada ya hapo tutaingia kwenye control phase as it happens in many nations..kwa sasa.
Maoni yangu kwa sasa ni kuwa DAR iongeze udhibiti kwa kuwa imeshajitambua.
Tanga ,Pwani Zanzibar na Mwanza stay solid!!
Mikoa mingine isimame kama ilivyokuwa imejidhatiti..wasikate tamaa.
After next two weeks tutaanza kuingia kwenye (recovery phase) kama dunia.
Maombi yanafanya kazi.
Ukiona Kiongozi wetu anataka maombi ...ujue tayari wataalamu wa afya na milipuko wameshampa taarifa za kipekee.
TANZANIA ITAUSHANGAZA ULIMWENGU KATIKA VITA YA COVID 19.
Tuendelee kushirikiana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
This is the pandemic
Umestate mawazo haya kama TZ ina first class facilities.
Kenya wameingiza Leo barakoa 500k, vipimo vya kutosha na upcoming days wanaingiza ventilators.
Sisi tuko wapi? Kama tunaelekea kwenye peak ndiyo tuwe hivi tulivyo Leo? Au tumejiandaa kuzika sana?
I Ought steps are here to be followed
Waliokufa ni watano tu
Asilimia 90 wanapona
Wengi waliokufa walikuwa na magonjwa mengine.
Tupunguze panic
Jingalao, lazima tukubali kuwa kuna mahali tulikosea.Niwasalimu wadau wa Jf!
Nirudie tena kwa kusema kuwa Tanzania pamoja na umasikini wake ilijiandaa vyema katika kukabiliana na majanga .maandalizi makubwa na yanayoendana na umasikini wetu ni katika well coordination ya kukabili majanga.
coordination is the key and the best way to achieve katika mapambano.
Mapambano dhidi ya COVID 19 ni mapambano ya kijeshi na askari muhimu ni kada ya afya.Hadi sasa these health workers soldiers have done their job intellectually na nguvu za Mola watatuvusha salama.
Hadi sasa viongozi wa siasa hawajataharuki...kwa kuwa jeshi kamili la Afya halijataharuki na linafanya kazi kiweledi kitu ambacho kinawapooza wanasiasa na jamii.
Kimsingi mlipuko huu wa COVID 19 unafuata kanuni/hatua za kawaida za milipuko yaani epidemic curve...ninamaanisha mwanzo -kilele -na kishuka.
Nimefiatilia kwa karibu mwenendo wa mlipuko huu nchini Tanzania na pia nimefuatilia mbinu za makabiliano zilizofanyika.
Uchunguzi wangu umeonesha kuwa kama Taifa tulijipanga...kwa kuwa case ya kwanza ilikuwa handled vizuri sana.
control ya mlipuko katika jiji la Dar es salaamu hapo awali ilikuwa laini ingawa baada ya cases kuongezeka walijitambua na kuufata mpango kazi maalumu wa kupambana na majanga.
Kwa sasa tupo ama tunaelekea kwenye kilele cha mlipuko(peak)
Tutegemee next week/2 weeks kuwa na spike ya cases ..hii haisharii uzembe bali natural course ya epidemic .tutegemee vifo kadhaa pia kama sehemu ya peak of this curve.
baada ya hapo tutaingia kwenye control phase as it happens in many nations..kwa sasa.
Maoni yangu kwa sasa ni kuwa DAR iongeze udhibiti kwa kuwa imeshajitambua.
Tanga ,Pwani Zanzibar na Mwanza stay solid!!
Mikoa mingine isimame kama ilivyokuwa imejidhatiti..wasikate tamaa.
After next two weeks tutaanza kuingia kwenye (recovery phase) kama dunia.
Maombi yanafanya kazi.
Ukiona Kiongozi wetu anataka maombi ...ujue tayari wataalamu wa afya na milipuko wameshampa taarifa za kipekee.
TANZANIA ITAUSHANGAZA ULIMWENGU KATIKA VITA YA COVID 19.
Tuendelee kushirikiana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Real deal through backward principlesKenya ni wazee wa copy n paste ...Tanzania ni real deal
Sifa ya kipekee itakayoenda Tanzania ni kufikia peak na ku control bila lockdown....Jingalao, lazima tukubali kuwa kuna mahali tulikosea.
Tulijua katika vita hii, askari wa mstari wa mbele ni wataalam wa afya. Kama huo ndiyo ukweli, kwa nini hatukuwaacha wataalam wa afya watupe maelekezo namna ya kuenenda badala ya wanasiasa kuwapa maelekezo wataalam wa afya namna ya kuenenda?
Kama tumegundua makosa tuliyofanya awali, japo tumechelewa, sasa tunatakiwa tuwaulize wataalam wa afya, tuenende namna gani katika hatua hii tuliyoifikia. Kama tutaendelea kuwapa nafasi wanasiasa wawape maelekezo wataalam wa afya, tutazidi kupotea.
Curve unayoisema, tungeweza kuiepuka kama tungekubali kujifunza kutokana na makosa ya wenzetu waliopata maambukizi kabla yetu. Kuna nchi hazitapita kwenye curve uliyoisema kabisa, kwa sababu walitumia makosa ya mataifa yaliyoathirika mwanzo, kujiwekea tahadhari ili nao wasiipite njia ya wale wa mwanzo. Sisi tulizembea, na tutalazimika kupita kwenye njia chungu.
Tuache siasa, tuwaache wataalam watuongoze. Mataifa yote wanasema wamekata chain ya maambukizi kwa lockdown. Sisi tunaamini tutakata chain kimiujiza!
Sasa ni wakati wa wataalam kusimama wima, na waiambie serikali namna tunavyoweza kuenenda ili kupunguza athari. Kwenye hili, ndugu zangu, bila kusikiliza wataalam na kutumia uzoefu wa wenzetu, tutaangamia.
Tafadhali Rais na watendaji wako wote wa Serikali, na viongozi wa dini, sikilizeni ushauri na maelekezo ya wataalam. Ombeni pia ushauri na uzoefu wa mataifa yaliyofanikiwa kudhibiti maambukizi na vifo.
Hawataki kucopyJingalao, lazima tukubali kuwa kuna mahali tulikosea.

Afadhali mkuu umeliona hilo, nilifikiri nipo peke yangu. Kuna watu hawaoni hali halisi ili mradi visenti vichache wanavyolipwa kupiga propaganda ya kusifia mitandaoni. Ni Kama vile wamekaa sehemu moja na kukubaliana Cha kuandika na kutoa commentsMleta mada na 90% ya wachangiaji wako mpo kupamba pamba uzembe unaofanyika
Mathalani unasema njia zetu za kujikinga ni scientifically. Hivi scientifically unaweza tofautisha mkusanyiko wa ibada na mkutano wa siasa?
Ifike mahala tuache uongo na unafiki
Tunakoelekea hatupajui na hatupaelewi
Chamsingi tusali
Wewe braza ni shidaNaunga mkono hoja
P
Sawa lakini ni watuambie kwani Rais wa nchi tunamuona kama baba wa taifa hasa wale wanaomlilia kila kukicha.Sifa ya kipekee itakayoenda Tanzania ni kufikia peak na ku control bila lockdown....
let see and wait.lockdown sio approval ya conrol worldwide...
Jibi moja kwako ni kuwa hakuna nchi itakayoacha kipita kwenye hiyo curve ...hiyo curve ni sehemu ya principle ya mlipuko.hata kipindupindu kilipitia hiyo curveJingalao, lazima tukubali kuwa kuna mahali tulikosea.
Tulijua katika vita hii, askari wa mstari wa mbele ni wataalam wa afya. Kama huo ndiyo ukweli, kwa nini hatukuwaacha wataalam wa afya watupe maelekezo namna ya kuenenda badala ya wanasiasa kuwapa maelekezo wataalam wa afya namna ya kuenenda?
Kama tumegundua makosa tuliyofanya awali, japo tumechelewa, sasa tunatakiwa tuwaulize wataalam wa afya, tuenende namna gani katika hatua hii tuliyoifikia. Kama tutaendelea kuwapa nafasi wanasiasa wawape maelekezo wataalam wa afya, tutazidi kupotea.
Curve unayoisema, tungeweza kuiepuka kama tungekubali kujifunza kutokana na makosa ya wenzetu waliopata maambukizi kabla yetu. Kuna nchi hazitapita kwenye curve uliyoisema kabisa, kwa sababu walitumia makosa ya mataifa yaliyoathirika mwanzo, kujiwekea tahadhari ili nao wasiipite njia ya wale wa mwanzo. Sisi tulizembea, na tutalazimika kupita kwenye njia chungu.
Tuache siasa, tuwaache wataalam watuongoze. Mataifa yote wanasema wamekata chain ya maambukizi kwa lockdown. Sisi tunaamini tutakata chain kimiujiza!
Sasa ni wakati wa wataalam kusimama wima, na waiambie serikali namna tunavyoweza kuenenda ili kupunguza athari. Kwenye hili, ndugu zangu, bila kusikiliza wataalam na kutumia uzoefu wa wenzetu, tutaangamia.
Tafadhali Rais na watendaji wako wote wa Serikali, na viongozi wa dini, sikilizeni ushauri na maelekezo ya wataalam. Ombeni pia ushauri na uzoefu wa mataifa yaliyofanikiwa kudhibiti maambukizi na vifo.
Achana na curve, tupe mipango ya serikali yako. Mipango wezeshi kwa kuwa ushaur tulishatoa ni zamu yao kufanya uamuzi.Jibi moja kwako ni kuwa hakuna nchi itakayoacha kipita kwenye hiyo curve ...hiyo curve ni sehemu ya principle ya mlipuko.hata kipindupindu kilipitia hiyo curve
Kama mmezuia sherehe, bado kuna haja ya mamia kuwa kanisani kila jumapili?
Si vema kuendelea kusubiri serikali itoe tamko, nanyi toeni maamuzi kwa waamini wenu.
Mabenchi bado yamejazana, wanakwaya wanaendelea kupumuliana kwa kigezo cha kufundishana mazoezi achilia uimbaji kanisani. Ni vema litoke tamko kuwa watoto hapana, wazee hapana, wajawazito hapana, kwaya zisimame kwa sasa, awepo mmoja anayeongoza nyimbo then waumini kuitikia au kuimba mwenyewe.
Mic inaambukiza hivyo kutumia wengi haifai hivyo tofaut na mapadri ambao ni familia wengine ni mmoja tu aruhusiwe kusoma masomo, na matangazo.
Mita moja izingatiwe kweli ikiwezekana benchi moja livukwe kila baada ya kukaa benchi husika, wahudumu hasa dar kila kanisa wanunuliwe suits za kuzuia maambukizi na kupima joto la mwili.
Ministrant wapumzishwe kwa sasa au atumike mmoja( chetezo kinaweza punguzwa kwa sasa)
Sadaka, masunduku yawe wazi lkn watu wavae barakoa wote wanaoingia kanisani kasoro makundi yaliyopumzishwa.
Niwasalimu wadau wa Jf!
Nirudie tena kwa kusema kuwa Tanzania pamoja na umasikini wake ilijiandaa vyema katika kukabiliana na majanga .maandalizi makubwa na yanayoendana na umasikini wetu ni katika well coordination ya kukabili majanga.
coordination is the key and the best way to achieve katika mapambano.
Mapambano dhidi ya COVID 19 ni mapambano ya kijeshi na askari muhimu ni kada ya afya.Hadi sasa these health workers soldiers have done their job intellectually na nguvu za Mola watatuvusha salama.
Hadi sasa viongozi wa siasa hawajataharuki...kwa kuwa jeshi kamili la Afya halijataharuki na linafanya kazi kiweledi kitu ambacho kinawapooza wanasiasa na jamii.
Kimsingi mlipuko huu wa COVID 19 unafuata kanuni/hatua za kawaida za milipuko yaani epidemic curve...ninamaanisha mwanzo -kilele -na kishuka.
Nimefiatilia kwa karibu mwenendo wa mlipuko huu nchini Tanzania na pia nimefuatilia mbinu za makabiliano zilizofanyika.
Uchunguzi wangu umeonesha kuwa kama Taifa tulijipanga...kwa kuwa case ya kwanza ilikuwa handled vizuri sana.
control ya mlipuko katika jiji la Dar es salaamu hapo awali ilikuwa laini ingawa baada ya cases kuongezeka walijitambua na kuufata mpango kazi maalumu wa kupambana na majanga.
Kwa sasa tupo ama tunaelekea kwenye kilele cha mlipuko(peak)
Tutegemee next week/2 weeks kuwa na spike ya cases ..hii haisharii uzembe bali natural course ya epidemic .tutegemee vifo kadhaa pia kama sehemu ya peak of this curve.
baada ya hapo tutaingia kwenye control phase as it happens in many nations..kwa sasa.
Maoni yangu kwa sasa ni kuwa DAR iongeze udhibiti kwa kuwa imeshajitambua.
Tanga ,Pwani Zanzibar na Mwanza stay solid!!
Mikoa mingine isimame kama ilivyokuwa imejidhatiti..wasikate tamaa.
After next two weeks tutaanza kuingia kwenye (recovery phase) kama dunia.
Maombi yanafanya kazi.
Ukiona Kiongozi wetu anataka maombi ...ujue tayari wataalamu wa afya na milipuko wameshampa taarifa za kipekee.
TANZANIA ITAUSHANGAZA ULIMWENGU KATIKA VITA YA COVID 19.
Tuendelee kushirikiana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kenya ni wazee wa copy n paste ...Tanzania ni real deal
[/QUOTEni