Ninaangalia hatua zilizochukuliwa na nchi nyingine ili wasikose soko. Ugiriki wamesema baa hazitafunguliwa wala disco. Hapa unajiuliza maana ya holiday ni nini kama hakuna bar wala disco?Acha tu mkuu imetupiga sana kwetu nadhani ni Zero kwasasa mapato ya utalii.
Sidhani kama kuna mtu wa ku-take all that trouble kisa KUTEMBEA maana hata unakokwenda utaambikizwa pamoja na kupima kwenu kuwa uko salama! WHY ALL THAT TROUBLE!... labda kwa vile ni wazungu maana nimeshangaa USA wanaghabika eti hawajaend beach na kuruhusu tu kidogo, eh! wamejazana!erikali pia imetenga majengo ya kukarantine wageni watakao patikana na maambukizi katika kipimo kitakachofanyika Airport.
Kwa wazungu holiday inasaidia mental health wellbeing. Wao hawasafiri kwenda nyumbani Kigoma, mama anaishi kwenye council flat hapo hapo mjini.Sidhani kama kuna mtu wa ku-take all that trouble kisa KUTEMBEA maana hata unakokwenda utaambikizwa pamoja na kupima kwenu kuwa uko salama! WHY ALL THAT TROUBLE!... labda kwa vile ni wazungu maana nimeshangaa USA wanaghabika eti hawajaend beach na kuruhusu tu kidogo, eh! wamejazana!
Hakuna mtalii timamu atakuja kwa mwenendo wetuTanzania: Hakuna lockdown kwa watalii Wala kupimwa Wala karantini wako huru muda wote watakaokuwepo hapa.
Nipo kwenye Biashara hii inayohusu watalii kwa muda sasa, kabla hata ya kuja hua wanaulizia kujua hali ikitokea majibu wameyakosa mtandaoni..Wat skunks ndugu wa CCM Wachina