COVID-19 ilivyobadili maisha yako

Naomba nukuu ya nilichokisema na muktadha wake, tafadhali...
uyo nani?
Screenshot_20200317-174234.jpeg
Screenshot_20200317-174215.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa msikilizaji wa redio kila dakika kujua mgeni amefika wapi tukampokee😢😢😢 kishingo upande anakuja lakini hatumtaki aisee!!!

~ mambo mengine yanaendelea kama kawa.
 
Back
Top Bottom