Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,790
- 6,995
Kwa haraka haraka tumejifunza mengi na tunaendelea kujifunza.
Siasa za nje
Nchi zitabadili sera zao za mambo ya nje. Ubabe ubabe wa kijinga utapoa. Tumeshajifunza kwamba kuna majanga fulani yakitokea kunakuwa hakuna mmbabe. Wote tutahitaji msaada kwa wengine.
Kwenye siasa za ndani
Nchi hasa za Africa zitaona umuhimu wa kuimarisha miundombinu ya afya na facilitations zake ikiwemo kutunisha mfuko wa dharula mbaka uwe kama gunia la viazi, Ili janga likitokea tuweze kuhangaika nalo wenyewe, maana kuna wakati flani ukifika kila mtu anapambana na haliyake hakuna kutembezeana bakuli.
Kiuchumi
Nchi nyingi zitaboresha mfumo wa watu kufanya kazi wakiwa majumbani,iliutumike vizuri katika kipindi amabacho kutakuwa na majanga ambayo yatasababisa watu wasiende katika maeneoyao ya kazi.
Kijamii
Watu watajifunza kupeana nafasi. Wataacha kuzurula hovyo, kukusanyika, kushikana shikana hovyo kwa mfano kukumbatiana, kupigaba mabusu kama Tom and Jerry, kupeana mikono na mengine mengi yanayofanana na hayo.
Mambo ni mengi, ongezea mengine tunayofanya kwa mazoea ili tuyaache kabla bado.
Kama hatutabadili mfumo wa maisha kwa kujifunza kupitia hii Covid-19 basi binadamu tutakuwa useless.
Nawaza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app