hyle master
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 207
- 23
- Thread starter
- #21
dont stop mashup sam tsui shankur tucker
JAmaa yuko vizurKuna jamaa anitwa Boyce Avenue mkali wa cover songs.
nasha ngaa kwa nini wabongo hawafanyi vitu hivi.....wenzetu underground wanaanzia kwenye cover ili kuweza kuonyesha vipaji vyao....me pc yangu nna cover songs tu..ahmir wako poa sana.
kweli aisee huwa hakosei akifanya anafanya kweliSam stui mbaya kwa mashup songs had rahaaa....
now mambo ya sing off wadau