Cousin wangu ananipenda

Sijawahi Kumpenda, Binamu yangu, tena sana sana hilo neno binamu lilishanipotea kabisa kichwani mwangu huwa na waita Dada Dada, ili lile neno binamu nyama ya hamu lisinijie kabisa.
 
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana, kumbe mwenzangu kanipenda tena mpaka analia yupo radhi asiende kazn ila aje 2pige storry nimemwambia ninampnz lakin hanielewi,pia nimemwambia sisi ni ndugu haelewi anadai ninasifa zote anazozitaka, na ananipenda kweli kuliko myboy, Sijui hata nifanyeje kunusuru undugu wetu.

angalia binti, unaangamia. usije tumiwa kama mfano ktk ukoo wenu. yaani hata mwenyewe unathibitisha kuwa "anakupenda kuliko your boy". halafu unasema hujui ufanyeje, tena sababu moja uliyompa ni kuwa una mtu. inamaana usingekuwa na mtu ungemfikiria eeh?. hivi unadhani anapokupenda mpaka kushindwa kwenda kazini ndo upendo huo??, kwa taarifa yako huyo kijana anatamani uchi wako , na siku akikuvua hizo nguo, mkafanya ile dhambi mbaya, atakapo vaa suruali yake ndo atakuambia" kweli wewe ni ndugu yangu, tufuate ushauri wako sisi ni ma binamu tusitishe uzinzi"

kama wewe ni mkristo kuna story kwenye biblia , kijana alimtamani dada yake akajifanya anaumwa akasema nataka dada ndo anihudumie , dada alipokuja akam baka, alipombaka uzuri wa yule dada wote ukapotea kwenye nafsi ya yule kaka,hapo hapo alimwona ni mbaya asiyefaaa tena. sasa jiandae nawe kwa hilo. mvulie nguo mpe tu, ila ukisha mpa rudi jamii forums, mtafute KINDIMBAJUUmweleze umepata nini.
 
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana, kumbe mwenzangu kanipenda tena mpaka analia yupo radhi asiende kazn ila aje 2pige storry nimemwambia ninampnz lakin hanielewi,pia nimemwambia sisi ni ndugu haelewi anadai ninasifa zote anazozitaka, na ananipenda kweli kuliko myboy, Sijui hata nifanyeje kunusuru undugu wetu.

Huyo cousin wako ni malaya wa kiume. Anadiriki kumtongoza ndugu yake! Mkimbie huyo anaweza mla hata mamake mshenzi huyo!
 
Zheneba mdogo wangu hujapata ufumbuz wa jamaa yako kule usiyemuelewa...umekuja na ya binadamu tena...vipi ya boifrend wako ulishamaliza maana inaonekana una hamu ya kuchakachuliwa unataka watu wakushauri umpe binamu sio....una miez mitano hujamegwa unahangaika hivi si bure ndo maana chalii haonyesh msimamo we mrahis kumegwa
 
yani binamu kakupenda na unakuja kuomba ushauri jf................try to be serious plz
 
Nani kakwambia binamu ni haramu kuoana. Sio makabila yote think the same.
 
Binamu? Unataka kaka na dada ambao ndio wazazi wenu waitane wakwe? Hv mwanao aje amegwe na mtoto wa kaka yako na alete prpsl ya kuoana uta accept hilo jambo?we naona hicho kichwa chako kimejaa tope,unatongozwa na binamu na unamsikiliza pasipo kutake action, a serious action.umekuja kuomba ushauri wa nini hapa jf wakati inaonyesha wazi nawe umefurahia huo upuuzi wake?
 
Nani kakwambia binamu ni haramu kuoana. Sio makabila yote think the same.

ishu sio kabila fulani linaruhusu au haliruhusu,kama we ni mkristo kasome biblia vizuri utajua ni watu gani unaruhusiwa kuwa nao ktk mahusiona kama mke au mume na kina nani huruhusiwi hata kuwasogelea,anza na wazazi.
 
Kitendo cha kutuuliza eti hujui ufanye nini ni wazi ushaanza kuingia mtegoni.Kwani haiwezekani uwe na boyfriend ambaye ni siliasi mapenzini, kisha utakwe na bwana mwingine anayeonekana kuwaka tamaa baada ya kukuona kwa muda mfupi, alafu usijue la kufanya.Najua unajua kwamba huyo jamaa eti binamu anapaswa kutoswa kwa kuhofia kuja kumkosa wako wa zamani na huyo binamu yako pale utakapokuwa "ushampa".
 
kwa mlolongo huu, huyu Z ni maharage ya mbeya, maji mara moja tu!!!ndo matatizo ya vicheche kuingia humu ndani, loh!kila akitongozwa anataka 'greater thinkers' tumshauri,pambafu!!

umeona eeh? Ndo maana hata huyo 'boyfriend' alienae hataki kutangaza ndoa, kashtukia ataolea wenzie
 
Heeh! hilo nalo neno. Ila hapo inabidi ujikadirie mwenyewe Dada angu' kama Vipi mpe tuu jamaa UROOODAAAA kiroho safi Maana umeshatuhakikishia kwamba he loves and cares you than your bF
 
Wana JF huyu binti anatania bunge jamani! Anapata ujasiri upi kusema eti "Jamaa anampenda zaidi hata ya bF wake just a week?Mmmmh!napatwa na wasiwasi Au kesha megwa tayari!
 
Usitupime kili kwa upuuzi wako na thread za kubuni! Jana ulisema vingine, leo vingine, sijui kesho utasemaje? Hivi unajijua unachofanya?
Tuliza akili yako mama kama hujampata wa kukutuliza akili ni PM
 
No m nakushaur umuajir tu coz huo undug wa mbal cna!isitoshe ww mwnyew ushathibitisha kumtel kua unabofrnd,so m naona tatzo lililopo kwako ambalo umeshndwa kulweka hewan,n kwamba unamshkaj na usngekua naye usinge umiza kichwa,so wat i cn say z dat,try to hav da balanc bt cousin&mshkaj !hii ni kaa unaelewa maana ya 3relation,kama hujui ntel ntakueleza
 
Back
Top Bottom