Couse gan nikasome chuo mm niliyesoma HKL??

Couse gan nikasome chuo mm niliyesoma HKL??

Nadhan mkuu utasoma nn itakuja mara baada yay tokeo lako la form 6,
Nmesema hivyo nikiangalia na competition iliyopo kwasasa kwa wahitimu wa kidato cha sita kwenda chuo kikuu kulingana na ufauru wao, chamsing kwasasa ww angalia unataka kuwa nani na utafanyaje kuwa huyo unayetaka kuwa. Hapa namaanisha uhakikishe una make result nzur ambazo zitakufanya kuwa huyo unaemtaka,
Ingawa vyuo now vipo vingi na vitu vya kusoma n vingi bt kwa combination yako law pia ingekufaa zaid
Wana jf naomba ushauli mimi ninasoma HKL advance na nipo form six natesemea kuhitim hivi punde ni course gan nikasome chuo ambayo kidogo inamanufaa??kwa HKL??

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtunza kumbukumbu,,afisa masoko,,afisa maendeleo ya jamii,,pia natamani kusomea tourism menegment ushauli wako mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Fuata chenye nguvu zaidi moyoni. Mbona kama hujiamini amini hivii, [emoji16][emoji16] Zungumza na moyo wako. Najua unaangalia hela, mind you, hela utatengeneza mwenyewe hata usomee kitu gani, ni akili ya maisha tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maliza six alafu matokeo yako yatunze vzr utakuja kusoma chuo baadae, ingia kwenye ujasiriamali usiende kupoteza mda wko chuo, atlest ungekuwa sayansi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuata chenye nguvu zaidi moyoni. Mbona kama hujiamini amini hivii, [emoji16][emoji16] Zungumza na moyo wako. Najua unaangalia hela, mind you, hela utatengeneza mwenyewe hata usomee kitu gani, ni akili ya maisha tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kwamba sijiamini ninachotaka humu ni ushauli tu haimaanishi sijajua cha kufanya [emoji16]kumbuka leo ni sikukuu ya wajinga so nataka nijue kitu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nadhan mkuu utasoma nn itakuja mara baada yay tokeo lako la form 6,
Nmesema hivyo nikiangalia na competition iliyopo kwasasa kwa wahitimu wa kidato cha sita kwenda chuo kikuu kulingana na ufauru wao, chamsing kwasasa ww angalia unataka kuwa nani na utafanyaje kuwa huyo unayetaka kuwa. Hapa namaanisha uhakikishe una make result nzur ambazo zitakufanya kuwa huyo unaemtaka,
Ingawa vyuo now vipo vingi na vitu vya kusoma n vingi bt kwa combination yako law pia ingekufaa zaid

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahsante sana kiongoz ushauli wako nimeuelewa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom