
Ukiona mtu kakujibu hilo swali, ukishasoma hiyo kozi mtafute akupe na kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unataka kuwa nani?
Yeyoteee kasoro law na education
Sent from my iPhone using JamiiForums
Social protection au TaxationWana jf naomba ushauli mimi ninasoma HKL advance na nipo form six natesemea kuhitim hivi punde ni course gan nikasome chuo ambayo kidogo inamanufaa??kwa HKL??
Sent from my iPhone using JamiiForums
IfmChuongan hizo couse napata??
Sent from my iPhone using JamiiForums