Asalaam.Kwa anajua kuhusu hii kitu,nimekutana nayo ijumaa mahakama ya mwanzo.Baada ya kushindwa kumuwekea dhamana ndugu yangu kutokana na taarifa kunifikia late akapandishwa karandinga.Sasa ndio nikaambiwa njoo j!3 uombe hiyo removal order,kwa mwenye uelewa mpana naomba anijuze masharti na vigezo vya kuzingatia Natanguliza shukrani zangu.