COURT DISMISSES DP WORLD PETITION: What's next on the board to come

COURT DISMISSES DP WORLD PETITION: What's next on the board to come

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161

COURT DISMISSES DP WORLD PETITION​

By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary
...........................................................
Judges Danstan Ndunguru, Mustafa Ismail and Abdi Kagomba ruled in favour of the Attorney General and three other Respondents after holding that the constitutional petition lodged by Alphonce Lusako, Emmanuel Chengula, Raphael Ngonde and Frank Nyalu, the Petitioners, lacked legal merits.

Namlilia JAJI MWALUSANYA, TUNGELIKUWA NA UHAKIKA WA LISU KUTOKA KIDEDEA

1757049945748.png
 
Kindly consider our layman language please.
 
COURT DISMISSES DP WORLD PETITION​

By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary
...........................................................
Judges Danstan Ndunguru, Mustafa Ismail and Abdi Kagomba ruled in favour of the Attorney General and three other Respondents after holding that the constitutional petition lodged by Alphonce Lusako, Emmanuel Chengula, Raphael Ngonde and Frank Nyalu, the Petitioners, lacked legal merits.
They alleged that the IGA violated Tanzania's constitution and endangered national sovereignty..
 
sasa ya ukinga yametoka wapi? Naona hujanielewa.

Huyu ndunguru angalia maamuzi waliyotoa wakati watu wanatetea maslahi ya nchi. Nina wasiwasi na kesi ya Lisu! Muwe mnaelewa code nyie chawa wachovu
Huo siyo Uamuzi

Ni taarifa kwa Waleta Shauri

Huwa narudiaga sana kusoma majibishano ya Yesu Kristo na Pontio Pilato ili kujiridhisha ile Hukumu ya Pilato “ YESU WA NAZARETH MFALME WA WAYAHUDI “

Kumuua Yesu haukuwa uamuzi wa Pilato bali Wayahudi wenyewe ambao Leo hii wanachezea kichapo kutoka kwa Hamas
 
Sasa ulitegemea nini kwa mahakama hii iliyowekwa mfukoni na Serikali?
Hakuna mtu mwenye akili anapoteza muda kwenye mahakama hizi za kupokea vimemo
 
Huo siyo Uamuzi

Ni taarifa kwa Waleta Shauri

Huwa narudiaga sana kusoma majibishano ya Yesu Kristo na Pontio Pilato ili kujiridhisha ile Hukumu ya Pilato “ YESU WA NAZARETH MFALME WA WAYAHUDI “

Kumuua Yesu haukuwa uamuzi wa Pilato bali Wayahudi wenyewe ambao Leo hii wanachezea kichapo kutoka kwa Hamas
Ilibidi atetee maslahi ya Umma hasa haya ya kuuza mali zetu. Ilibidi aungane na waleta maombi kwa njia yoyote ile kuokoa bandari kuuzwa
 
COURT DISMISSES DP WORLD PETITION​

By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary
...........................................................
Judges Danstan Ndunguru, Mustafa Ismail and Abdi Kagomba ruled in favour of the Attorney General and three other Respondents after holding that the constitutional petition lodged by Alphonce Lusako, Emmanuel Chengula, Raphael Ngonde and Frank Nyalu, the Petitioners, lacked legal merits.

Namlilia JAJI MWALUSANYA, TUNGELIKUWA NA UHAKIKA WA LISU KUTOKA KIDEDEA

View attachment 3465348

Rasmi sasa kampuni ya DP World mkono wa serikali ya 'Dubai' imekuwa ajenti wa kuitawala Tanganyika kama ilivyokuwa mkataba wa Lobengula wa Matebele Land wa mwaka 1888 ambapo nchi beberu za kikoloni zilitumia makampuni kuingia saini na machifu wenye maeneo makubwa kama Matebele Land ( (Zimbabwe / Rhodesia) kuwa makoloni.

Clip hii hapa chini inaeleza jinsi chifu Lobengula na baraza lake la mawaziri walivyoingia mkataba tata uliowafanya kupoteza nchi yao bila kujua wakidhani yote waliyokubaliana kuhusu sovereignty ya Matebele Land imo katika mkataba uliosaini. The rest is history ndiyo mwanzo wa Matebele Land kuwa koloni :

View: https://m.youtube.com/watch?v=RHDRt6JqFc0

ampuni ya Uingereza ya Afrika Kusini (BSAC), iliyoanzishwa na Cecil Rhodes , alipata haki za madini huko Matebele Land kupitia mkataba wa Rudd concession mwaka 1888 ambayo ilitoa haki hizi kwa mawakala wa Rhodes kwa malipo kiduchu na silaha kwa,mfalme Lobengula.

Kampuni ya BSAC, iliyojumuishwa na hati ya kifalme mnamo 1889, ilitumia makubaliano haya kama msingi wa madai yake kwa eneo hilo.

Walakini, makubaliano hayo yalikuwa na utata, na tafsiri yake ilisababisha mzozo, na hatimaye kusababisha kampeni za kijeshi za BSAC na kukaliwa kwa Matabeleland na Mashonaland, na kuanzisha utawala wa kampuni uliodumu hadi 1923.

Maelezo muhimu ya mkataba/makubaliano:
  • Tarehe: Oktoba 30, 1888.

  • Vyama: Wawakilishi wa Cecil Rhodes (Charles Rudd, Rochfort Maguire, na FR Thompson) kwa upande mmoja, na Mfalme Lobengula wa Wandebele kwa upande mwingine.

  • Ilichotoa: Haki za madini na metali zote ndani ya ufalme.

  • Ilichoahidi: Wawakilishi wa Rhodes waliahidi kulipa Lobengula £100 kwa mwezi na kutoa bunduki 1,000 za kisasa na risasi 100,000.

  • Utata: Makubaliano hayo yalikuwa na dosari, kwani uuzaji na usafirishaji wa bunduki kwa Waafrika nje ya Koloni la Cape ulikuwa kinyume cha sheria wakati huo. Zaidi ya hayo, kulikuwa na kutoelewana kuhusu kiwango cha haki zilizotolewa kwa BSAC.
Matokeo:

  • BSAC ilitumia mkataba huo kupata hati na kujiimarisha kama msimamizi wa eneo hilo, ambalo baadaye lilikuja kuwa Rhodesia ya Kusini (sasa Zimbabwe).
  • Mzozo juu ya masharti ya makubaliano na kuwasili kwa walowezi zaidi ulisababisha kampeni za kijeshi, pamoja na Vita vya kwanza vya Ndebele.
  • Utawala wa BSAC juu ya Matabeleland na Mashonaland ulisababisha manung'uniko na maasi mengi, kama vile maasi ya Wandebele na Washona ya 1896-1897
 
Back
Top Bottom