Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,843
- 56,399
Kaka nikiwa chuo nilikutana na walim wa aina hiyo... walinipa shida sanaa... yaan badala ya kuelewa itabidi ukariri. masna ukijibu kingine hata kama uko sawa anakutia kosaNilibahatika kusoma chuo flani hapo Dsm, kuna Prof akitoa mtihani usipojibu kwa kutaja maneno yaliyoko kwenye notes zake umefeli hata kama utajibu majibu sahihi ila kitendo cha kutumia maneno(misamiati yako binafsi) basi umejipalia mkaa.
Kama swali lina 2marks ukijibu kwa maneno yako binafsi anaweza kukupa 0.5mark au 1mark