Courses zetu za vyuo ziwe zina encourage independent learning

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
Hello JF,

Leo ningependa kutoa wazo,

Courses zetu za vyuo ziwe zina encourage independent learning, i believe ukiisoma topic mwenyewe unaielewa kuliko kukremishwa darasani,

Sio mfumo wa kufanya project in the final year, project ziwe zinaanzia ukiingia first year na tena masomo yawe yanayohusu current issues, application of solutions into real world's problems, naamini tukifanya hivi tutatoa wahitimu waliobobea.

Sikukuu njema.
 
Umesoma course contents ya hayo masomo yenu pamoja na learning outcomes baada ya kumaliza courses hizo!?
===
Nipe mrejesho.
 
mie siku shule mkuu,nilikua nataka kusema muda wa contact na malecturer upunguzwe,watu wajisomee wenyewe,tena current issues,
 
Kwa Tanzania yetu nasema ni vigumu tena sana na sio Tanzania tu nchi nyingi zina elimu ya kipuuzi.

Sasa unadhani wale maprofesa waliokariri madesa yao miaka ya 60 watakula wapi kama ukisema tujifunze current issues?

Kuna kozi zipo kwa ajili ya kulinda ajira za watu flani flani
UDSM kuna kozi inaitwa Bachelor in history sasa kwa nchi yetu huyu mhitimu anaenda kua nani na wapi? Maana vitengo vyote vya makumbusho kule Bagamoyo watu darasa la saba walishakaba na wako kwenye system kitambo ukienda unatafuta kurogwa tu
 
Kwa Tanzania yetu nasema ni vigumu tena sana na sio Tanzania tu nchi nyingi zina elimu ya kipuuzi.

Sasa unadhani wale maprofesa waliokariri madesa yao miaka ya 60 watakula wapi kam ukisema tujifunze current issues?

Kuna kozi zipo kwa ajili ya kulinda ajira za watu flani flani
UDSM kuna kozi inaitwa Bachelor in history sasa kwa nchi yetu huyu mhitimu anaenda kua nani na wapi? Maana vitengo vyote vya makumbusho kule Bagamoyo watu darasa la saba walishakaba na wako kwenye system kitambo ukienda unatafuta kulogwa tu

:D:D:D:D:D:D:D:D:D mkuu umenichekesha sana,umenifanya nifikirie mazingira yetu labda kweli hili jambo kwenye mazingira yetu ni ngumu kufanyika,lakini tujaribu bana.....:cool::cool::):)
 
Kuna wazee flani aisee ni ngumu kuwaondoa maana wamemfundisha mpaka prezidaa lakini kwa sasa unaweza kukuta kozi zao ni outdated sasa how do you take them out of the system? Wengi hawana wanalojua zaidi madesa yao wa miaka ilee, wengine ni makada kwenye chama ukisema wasipewe ugali kupitia kufundisha ujue mabwepande imekumiss
 
:D:D:D:D una vituko.............ndio maana mkuu nchi nyingine kuna office nyingi ambazo wafanyakazi wake wanalazimika kujiupdate kila mara,(continuous proffessional development),na wengine kufanya mitihani ya body kila mara
 
Nilibahatika kusoma chuo flani hapo Dsm, kuna Prof akitoa mtihani usipojibu kwa kutaja maneno yaliyoko kwenye notes zake umefeli hata kama utajibu majibu sahihi ila kitendo cha kutumia maneno(misamiati yako binafsi) basi umejipalia mkaa.
Kama swali lina 2marks ukijibu kwa maneno yako binafsi anaweza kukupa 0.5mark au 1mark
 
mie nilivyokua mdogo,secondary,tulikua tunakremu balaa,yaani ukitoa essay,ukichunguza karibu darasa zima ,tumeandika maneno hayo hayo,lol na mwalimu haoni tabu kuwa mmekopi maandishi yake,lol
 
Kabisa mwenyew nadhani hii system inayotumiwa sasa si nzuri kabisa kwanza inamuumiza mwanafunzi,pili haimjengi...nadhani ingekuwa vema kama tungesoma zaidi kwa vitendo na kupresent mawazo yetu sisi wanafunz tunapokuwa darasan na lecturer awe tu kama kiongoz na kusimamia vile mwanafunzi anapresent na kuelezea mbele yake.system iliyopo sasa inamfanya,mwanafunz hata akipewa kazi au kuulizwa swali anashindwa kulielezea au kusimama kupresent mbele wakati kila siku anafundishwa hiko kitu darasani.
 
ni kweli mkuu,watu wanahudhuria lectures siku mbili tu kwa week, siku nyingine za week unaenda chuo kumuona lecturer kama una tatizo fulani,una panga apointment kumuona akusaidie mahali hujaelewa
sio lazima kuwafanya wanafunzi waende chuo kila siku ya week kukremu ,mnawagandamiza vijana ,learning should be fun,lol
 
hiyo kwa nchi zetu bado sana maaana bado tuna wahadhiri wa hovyo hovyo.. mtu anataka uandike ambacho amesema yeye au ambacho kipo kwenye lecture zake ..mi zilinisumbua sana maaana kukariri nna uwezo mdogo sana
 
mkuu sio wewe mwenyewe,watu kibao hawawezi kukariri,ingekua vizuri kama wangepewa muda wa kujisomea wenyewe,hii itatoa wahitimu wanaojua wanatakiwa wafanye nini kwenye ajira,sio tu kuwa walipita chuo flani wakafanya hiki au kile,
 
hiyo kwa nchi zetu bado sana maaana bado tuna wahadhiri wa hovyo hovyo.. mtu anataka uandike ambacho amesema yeye au ambacho kipo kwenye lecture zake ..mi zilinisumbua sana maaana kukariri nna uwezo mdogo sana
Kweli hyo ni shida sana ase,inatakiwa waache wanafunz tusome tuelewe na si kukariri.
 
Back
Top Bottom