Course zipi zinaendana na Mwalimu?

MLABATA

Member
Mar 30, 2015
49
23
Ni mwalimu nataka kujiendeleza. Namaanisha kuwa nisiathiri promotion katika madaraja.
 
Inamaana nitaendelea kuwa kwenye promotion ya madaraja. Cz mbona naona to fatigue?
 
vipi hali wakuu...naomba kujua,kwa mfano,mtu akiwa na certificate ya b.administration,na gpa ya 4.5,anaweza kuaply diploma ya ualimu moja kwa moja?...nahisi wakati wa kuitikia wito umejileta...
 
Ndg coz za ualimu hazina kona kona,,certficate ya ualimu → diploma ya ualimu→degree ya ualimu.
 
Na zamani ilikua kama una certificate ya ualimu lazima ufanye kwanza mtihani wa kidato cha sita( kama ulisoma shule zilizokua na vituo vya kureseat uliona walimu wa cheti wakitafuta credit) then ukifaulu mtihani wa kidato cha sita ndipo unaenda diploma sijui kama sasa wanaruhusu kutumia matokeo ya cheti kusoma diploma( kwa ualimu)
 
hiyo hamna mkuu rudi darasani
 
Back
Top Bottom