kwa vyuo vyetu vya tz sup na disco znasababishwa na watu wawili yani mwanafunzi na mwali...inawezekana mwanafunzi akashndwa kwa uzembe wake, pia mwalimu anachangia kwa ufundishaji na mitindo ya usahihishaji na utoaji wa maksi..
Cdhani kama wewe unafika chuo umechagua course furani na unafahamu fika changamoto zake na unashindwa na unasingizia eti course ngumu...hakuna course ngumu kwa mwanafunzi, labda yule aliyelazimishwa kuisoma.
Nimeeleweka.