Course zipi udsm inayoongoza kwa sup na kudisco , | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Course zipi udsm inayoongoza kwa sup na kudisco ,

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mb-one, Sep 5, 2012.

 1. Mb-one

  Mb-one JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 550
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  tu consider kichwa cha kawaida tu cha denti syo genius wala kilaza,kusema ukweli tujuzane ni kozi ipi inayoongoza kwa mwanafunzi kudisco na kupata sup nyingi udsm na vyuo vingine
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Programs za engineering zikifuatiwa na economics.
   
 3. A

  Aaron JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,135
  Likes Received: 2,723
  Trophy Points: 280
  kwa vyuo vyetu vya tz sup na disco znasababishwa na watu wawili yani mwanafunzi na mwali...inawezekana mwanafunzi akashndwa kwa uzembe wake, pia mwalimu anachangia kwa ufundishaji na mitindo ya usahihishaji na utoaji wa maksi..
  Cdhani kama wewe unafika chuo umechagua course furani na unafahamu fika changamoto zake na unashindwa na unasingizia eti course ngumu...hakuna course ngumu kwa mwanafunzi, labda yule aliyelazimishwa kuisoma.
  Nimeeleweka.
   
 4. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa huo uzembe cjui wa mwanafunz au utoaji wa marks wa mwalim,but ujatoa jibu assume other factor remain constant je coz zip znazoongoza kwa sup and disc
   
 5. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  (i)civil engineering(ii) bsc with ed especially PH,MT (iii)ECONOMIcs hapa utamkuta Karamagi.(iv)electrical eng
   
Loading...