course zinazotolewa na vyuo vya ushirika ni zipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

course zinazotolewa na vyuo vya ushirika ni zipi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dolson masaki, Oct 22, 2011.

 1. d

  dolson masaki Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau wa elimu naombeni mnisaidie katika hili vyuo vya ushirika kama vile moshi cooperative kinatoa course zipi?
   
 2. B

  Baby black Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BA_Acounts n finance(BA-AF),BA-PSM(procurement).n.k
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Vinatoa kozi za kijinga jinga tu kama co-operative mgt nk.
   
 4. d

  dolson masaki Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks but ungenipa abreviation ya hayo maneno hapo juu ningefurah zaidi
   
 5. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Tz na East Afica hakuna vyuo vya Ushirika. Kipo chuo kimoja tu Afrika ambacho ni Muccobs na kipo Moshi. Kinatoa kozi mbalimbali kuanzia ngazi ya cheti,Diploma na Degree na Masters.
  Kwa kozi zinazohusiana na Mambo ya ushirika ni kama:
  1.Microfinance Mgt
  2. Diploma in Cooperative Mgt and Accountancy
  3. Bachelor of Cooperative Mgt and Accountancy
  Na zipo nyingi tu wewe pitia kwenye tovuti yao tu utapata www.muccobs.ac.tz
  Na Muccobs haifundishi tu mambo ya ushirika ila inafundisha na mambo mengine ya Biashara na Ujasiriamali.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mbona ni mambo ya umasikin maskin 2?cmshaur huyo dogo asome hayo mambo kabisa.
   
 7. d

  dolson masaki Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks mkuu
   
Loading...