Course ya sociology SAUT

Ni kozi nzuri,graduate wa 2011 na sasa nakula matunda yake. Msuli inategemea na akili yako. By then tulikuwa na wakufunzi wakutosha ila kwa sasa sijuu hali ikoje na pia utakutana na kitu inaitwa baso foundation.
Kila la kheri mkuu.
 
Nina jamaa zangu 2 wamesoma kozi hiyo walipomaliza wakakosa ajira mpaka sasa mmoja anajitolea kufundisha private schools mwingine haeleweki hata ana issue gani kazi kutupiga mizinga tu kila akisikia salary imetoka.Hivyo kama una connector wa kufanya njia we kasome ILA AJIRA ZAKE NI HABA NA ADIMU
 
kupata ajira kazi sana mimi kuna rafiki zangu walikua wananicheka sana wakati nasoma education wenyewe sociology mpaka sasa wako mtaani hawana mbele wala nyuma.kupata kazi ni vigumu sana bora hata masscom ila kama una refa poa
 

me kuna jamaa namfahamu alisoma hyo kozi hapo saut,huu ni mwaka wa sita yuko mtaani bila ajira,hadi ameamua kufungua kibanda cha kusajili line.
 
Sasa mkitoa hiyo mifano ya walokosa kazi na sisi tukitoa ya wale tunaowajua waliopata kazi tena me nawajua wa tatu ...... Hapo tutafika conclusion

Mind you kuna waliosoma linguistic na peforming art sasa ni ma bank teller na kuna waliosoma bank and finance na kufaulu ila wapo kitaa hii nikumaanisha kusoma cozi fulani sio guarantee ya ajira nowdays wanaangalia unauwezo gani wa kudeliver ulichonacho kichwani.
 

Ni kweli mkuu!!!
 
HRM, SOCIOLOGY, PSPA, PA, even LLB kwa sasa wanashare kazi nyingi. ni kazi chache sana ambazo wanataka particular degree programme. me nilisoma PSPA, mwaka jana watu wa CRDB waka-invite graduates wa social sciences wenye GPA ya kuanzia 3.5 wapeleke CV zao pale crdb UDSM. cha ajabu watu wa UDBS ambao ndio taaluma yao mambo ya fedha hawakuruhusiwa.

hitimisho ni kwamba, jukumu la mwanafunzi ni kusoma bila kuangalia changamoto yoyote kama vile tatizo la ajira, kwa kuwa tatizo hilo ni la kimfumo
course yoyote ile yaweza kubadilisha maisha yako
always work and perform at your maximum level
 
He is static,he will end up making a western oriented arm-chair type!!!!

Is using western thinking to address our problems an evil? Kipi tunachokisoma na kukifanya ambacho hakina roots from the west? Stop being fallacious bwana mdogo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Wafungue bongo, tatizo la ajira si kwa wahitimu wa BASO tu bali ni hanga la kitaifa kutokana na mamlaka husika kushindwa kuwajibika.. Kwa mfano 2009/12 UDSM BASO tuligraduate 70+, ila kwa sasa ni 100+. Mfano huu mdogo unamaanisha graduates wanazidi kuwa wengi kila uchao huku wakiwa wameandaliwa kutegemea kuajiliwa ili hali nafasi za ajira zinazotengenezwa zikiwa ni chache. janga hili linawagusa wahitimu wa kada karibu zotee isipokuwa chache zan UANDISI, ualimu, na zile za afya..

My take:

Tusichagua kazi, mimi binafsi nilianza na NGOs, nikafundisha secondary ila kwa sasa nimeajiliwa kama mwl. Chuo kikuu kama mwl..



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…