course/programs zisizofaa kusomea

Joined
Nov 18, 2018
Posts
29
Reaction score
61
Courses kama LLB, PSPA,journalism na B.A economics hazifai kabisa unaweza kupigwa risasi mda wowote.

Mana ukisoma course hizo lazima uwe mbishi na unabishana na serikali au kila mtu la sivyo utaonekana hujafuvu vizuri.
Nature ya hizo course ni ubishi ukiwa mstaarabu wanasema wewe siyo wakili msomi au siyo mchumi mbobezi.
Ndiyo wanapigwa risasi daily mfano ni prof mwaikusa, tundu lisu na dr mvungi
Au unaweza kutekwa,na kupotezwa mda wowote kama azori gwanda
 
Course nyingine KUA TAJIRI, segerea au sentro itakuhusu.[emoji18]

Haijalishi kama unafanya kazi kihalali na unalipa kodi kisheria, muda wowote utasakiziwa li CASE huko, kama ni la Uhujumu Uchumi au Kuuza Madawa Ya Kulevya. Uka weweseke nalo huko mpaka ukome.

Ikishindikana kubebeshwa zigo la CASE, basi WATU WASIOJULIKANA wata husuka kama ni ofisini, nyumbani au gym.[emoji18] [emoji53] [emoji57]
 
Tatizo siyo taaluma, bali unao tofautiana nao, Dr. Ulimboka alisoma kozi gani kati ya hizo?
 
1. Beni saanane alisoma kozi gani?
2. Dr. Ulimboka alisoma kozi gani?
3. Sheikh ponda alisoma kozi gani?
4. Roma alisoma kozi gani?
5. Mo dewji alisoma kozi gani.
6. Kamanda Lazaro alisoma kozi gani?

Nisaidie hapo mkuu
 
1. Beni saanane alisoma kozi gani?
2. Dr. Ulimboka alisoma kozi gani?
3. Sheikh ponda alisoma kozi gani?
4. Roma alisoma kozi gani?
5. Mo dewji alisoma kozi gani.
6. Kamanda Lazaro alisoma kozi gani?

Nisaidie hapo mkuu
Kwa awamu hii ya tano huponi hata ukiwa Mwl tu.
 
Hata ukiwa mkulima na shamba lako la.korosho ukiwashinda bei tu wanalichoma moto.
 
1. Beni saanane alisoma kozi gani?
2. Dr. Ulimboka alisoma kozi gani?
3. Sheikh ponda alisoma kozi gani?
4. Roma alisoma kozi gani?
5. Mo dewji alisoma kozi gani.
6. Kamanda Lazaro alisoma kozi gani?

Nisaidie hapo mkuu
Mambochacha alisomea photoshooting and editing anafanya kazi bongo muvi juzi ametoa muvi mpya inaitwa "Momomooo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…