Course gani anaweza somea mdogo wangu?

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Kuna mdogo angu amemaliza form four mwaka kaja 2020 kwa bahati mbaya alipata four ya point 26 kama ifutavyo

Biology C, Math F, Kiswahili C, History D, Geography D, Civics D, English, D

Naombeni ushauri anaweza soma course gani kwa vyuo vya Private?
 
community development
 
Yeye anapenda kusomea kitu gani?
Kama anataka kusomea chochote ili awe na uhakika wa kupata ajira, ni bora akasomea kozi za ufundi VETA kisha akapambana kuja kujiajiri.
 
Back
Top Bottom