Uwezo wa kufikiri ni nguzo ya mwanadamu, kutathmini na kuielezea kesho ndo iletayo tofauti ya maamuzi ya leo, Ujasiri ni silaha ya mwisho kuthibitisha usahihi wa tathmini/maono yako ya kesho. Ujasiri huu na uwezo wa kuona mbele vikitumiwa kusimamia rasilimali vema, msimamiaji anakua mjasiriamali mahiri.