Man,
You must be living on another planet (Tanzania planet)
Hili ndilo tatizo kwa wanaojiita wana habari Tanzania. Yaani unakuta jamaa ana copy & paste picha au story za watu hata kama wako uchi.
Wenzetu huku Magharibi hii kitu wanakuwa nayo so careful na wakitaka kufanya hivyo lazima wamfahamisha muhusika kwanza kabla ya ku-publish