Mkuu we are well informed. You should know that we don't have any existing Cyber Law in Tanzania. Furthermore I don't think if JF is hosted in TZ. Further most fotos are unlicensed available on net.
Mimi nilikuwa tu ninachombeza kwa sababu kuna kesi nyingi watu wamedondoa mambo yaliyoko nchi nyingine (host) na wao wako nchi nyingine lakini wakajikuta pia wameingia kwenye mkono wa sheria ya hiyo nchi.

Kamanda respect sana nimekusoma Mkuu na nitatilia maanani sana.
Picha nyingi hapa ni zile zile ambazo zimesambaa katika mitandao mingi ila nachagua nzuri tu. Pia picha huwa zina categories ya Licensed au Unliensed. Ninaposearch natafuta ambazo ni unlicensed maana hizo hazina noma.
Vinginevyo tuendelee kusaidiana.
Of course kukosekana kwa Cyber laws ndo mpaka leo imefanya issue ya Zeutamu kwa kizungumkuti!