PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,781
Wanajukwaa,
Jana kumetundikwa thread moja, HII-HAPA, ambayo muwasilishaji anayeenda kwa jina la Pearl alieleza anavyoota sifa za wadau mbalimbali wa hapa ndani jinsi walivyo kwa hisia zake na kwa kusoma mabandiko yao!!..mfano, (nanukuu):
Swali: Je JF ingelikuwa ni SAYARI , ni nani na nani hapo wanakubaliana KWA SIFA na HADHI zilizobuniwa, kuwa couple?...

na wengine weengi walioorodheshwa!Geoff: ni mtu mnene,mrefu,mpole,mcheshi
Xpin: mtundu,mchokozi,mcheshi
kaizer: mchokozi,mcheshi,mrefu,mwembamba
1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake
Bht: mcheshi,muongeaji,zais ya kati,lady with dignity n principoz
Buji: mcheshi,mchekeshaji yani huchoki kuwa nae,
Masaki :mcheshi,mkaka
Ngoswe: mcheshi,mpenda kabila lake,anapenda kusoma
Pearl....easy to befriend, loving and caring, prety, hard working
Lily Flower.....dah mpole, wise (listens more n talks less), heshima sana
Akili kichwani: mkorofi,mtukanaji,mropokaji
Kigogo.....babu asopenda shida, anadharau mambo mengi (hana stress) Mwanakijiji: mpenda maendeleo,haogopi kusema ukweli yuko tayari kufa kutetea taifa lake,anaipenda familia yake ya Tanzania
Paka jimmy: mpole mpenda dini,anaheshim maamuzi ya watu hata kama yy ataonewa
WOS: mdada,mmama,mwalimu ,mwanafunzi yuko tayri kujifunza kushirikiana na wenzie
Invizibo: Mlevi, mpenda vurugu, mpenda totoz
Maxence: Mvivu, mbishi,mchonganishi mpenda wake za watu.
Shishi :mpole lady to become a woman,caring
Boss ; bossy, anajiamini, mpole, caring, selfless, mpenda starehe (lakini baada ya kazi), anapenda mademu huko ofisini kwake naona kawamaliza.
Pretta: mpole,mpenda maendeleo,mvumilivu
Swali: Je JF ingelikuwa ni SAYARI , ni nani na nani hapo wanakubaliana KWA SIFA na HADHI zilizobuniwa, kuwa couple?...