Couples za JamiiForums

Neno dear lisikuzingue,hata baba yangu nikimwandikia barua huwa naandika dear father,ni neno ambalo huwa nalitumia kwa watu ninaowapenda kama vile ndugu,jamaa na marafiki!!
Nami pia najua ila wewe sio dear wangu. Kikikikikkkk
 
Nilikua nahisi njaa ila kusoma hapa nimeahiba!!!!
Nimekuja mpenzi wangu.
Nakupenda haswaa
Ila mimi closed relationship siitaki!!!
Kizuri gawana na wenzako
 
Nilikua nahisi njaa ila kusoma hapa nimeahiba!!!!
Nimekuja mpenzi wangu.
Nakupenda haswaa
Ila mimi closed relationship siitaki!!!
Kizuri gawana na wenzako
Tupangie pambano basi na mume mwenzangu tuone nani atapinga long trip siku hiyo.
 
Jaman hakuna hata she aliekosea kunitaja duuh kwel nmeamin sasa wenye vibamia tumeanza kutupia nguo nje
nioneen hurumaaaa heeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…