Uzuri ushamuelewa tayar vizuri sana. ila mara ingine huwa mnachangia yawatokee mana mda anataka mwanaume anajiremba kushinda dem nini kitafata apo mwanaume wa kweli hawezi mponda mwanamke hata aweje labda kumkwepa ki staraabu