Couples Love..... Is Physical Attraction Necessary ?

Hapana the meaning behind the Beauty aint yet born ni kwamba leo nakuona AD mzuri kwelikweli, nafall in love, kesho namuona Hus..., kumbe she is even better kesho kutwa aah kumbe na huyu yupo? before you know it nimemaliza half of JF

hhahaahah lol
nilikuelewa mkuu
mie nakutania tu ...
ni kama vile umechoka my dear just trying to cheer u up abit lol
 
hapo kwenye green :amen::amen:............
yaani hicho ndo kitu cha kwanza cha kufanya uonge na mtu..
labda mapenzi ya internet hahah lol
Thats why kuna mtu alishasema there is no love at first sight its just physical attraction you fall in love baada ya kumjua mtu...., mpaka ukae na mtu umuelewe na kuna qualities tu utapenda...., if you look hard enough you will find good things even from a STONE, just look hard enough... small things like the smile, the laugh the way she looks, can do wonders sometimes..., Lakini we all wish the perfect scenario kwamba mtu awe navyo vyote..., and the mistake we do ni kwamba we think we can change someone with bad manners during marriage but it turns out we can not..., and with time even the beauty began to deteriorate and we are left with..... (A cigarratte on an ashtray au chewing gum ambayo imeishiwa utamu) to put it plainly we are left with nothing just mzigo, imagine in your late sixties you look accross to someone you cant even stand his/her manners... you begin to think why did you fall for that....
 
hhahaahah lol
nilikuelewa mkuu
mie nakutania tu ...
ni kama vile umechoka my dear just trying to cheer u up abit lol

Thats why kuna mtu alishasema there is no love at first sight its just physical attraction you fall in love baada ya kumjua mtu...., mpaka ukae na mtu umuelewe na kuna qualities tu utapenda...., if you look hard enough you will find good things even from a STONE, just look hard enough... small things like the smile, the laugh the way she looks, can do wonders sometimes..., Lakini we all wish the perfect scenario kwamba mtu awe navyo vyote..., and the mistake we do ni kwamba we think we can change someone with bad manners during marriage but it turns out we can not..., and with time even the beauty began to deteriorate and we are left with..... (A cigarratte on an ashtray au chewing gum ambayo imeishiwa utamu) to put it plainly we are left with nothing just mzigo, imagine in your late sixties you look accross to someone you cant even stand his/her manners... you begin to think why did you fall for that....

something is missing here, lemme reserve my comment for the sake of sred flow lol
 
Hapana mkuu kweli kabisa nipo radhi kusacrifice huo uzuri wa sura nikaenda kwenye inner beauty.., mfano mimi I always fall for kind and down to earth people....,

Akili yako inakusanya taarifa kupitia milango yote ya fahamu (narudia 'yote') na subsequent analysis inafanyika kwa kuzingatia taarifa zote (huna uwezo wa kuifanya akili yako itumie taarifa fulani tu!). Mambo mengi yanafanyika subconsciously bila 'wewe' mwenyewe pengine kujua. I can I agree with you the way unavyofanya uchaguzi...lakini ninachosema hiyo process ni subconscous kwa kuzingatia taarifa zote na uzoefu wote ambao akili yako imekusanya na kufanyia analysis. Labda kama tunamzunguzia mtu artificial na sio natural.
 
hhahaahah lol
nilikuelewa mkuu
mie nakutania tu ...
ni kama vile umechoka my dear just trying to cheer u up abit lol
I know... I know..... My Pretty Just want to make a point I get passionate sometimes..., some people say am argumentative.. but I just like some good debates
 
Thats why kuna mtu alishasema there is no love at first sight its just physical attraction you fall in love baada ya kumjua mtu...., mpaka ukae na mtu umuelewe na kuna qualities tu utapenda...., if you look hard enough you will find good things even from a STONE, just look hard enough... small things like the smile, the laugh the way she looks, can do wonders sometimes..., Lakini we all wish the perfect scenario kwamba mtu awe navyo vyote..., and the mistake we do ni kwamba we think we can change someone with bad manners during marriage but it turns out we can not..., and with time even the beauty began to deteriorate and we are left with..... (A cigarratte on an ashtray au chewing gum ambayo imeishiwa utamu) to put it plainly we are left with nothing just mzigo, imagine in your late sixties you look accross to someone you cant even stand his/her manners... you begin to think why did you fall for that....

nakubaliana na wewe VoiceOfReasons,
sasa kwa mawazo hayo mkuu unaweza kusababisha,
vijana wakaingiwa na uoga wa kuoa hapo!!!!!!!
Nimependa lakini comment yako!!!!
 
Akili yako inakusanya taarifa kupitia milango yote ya fahamu (narudia 'yote') na subsequent analysis inafanyika kwa kuzingatia taarifa zote (huna uwezo wa kuifanya akili yako itumie taarifa fulani tu!). Mambo mengi yanafanyika subconsciously bila 'wewe' mwenyewe pengine kujua. I can I agree with you the way unavyofanya uchaguzi...lakini ninachosema hiyo process ni subconscous kwa kuzingatia taarifa zote na uzoefu wote ambao akili yako imekusanya na kufanyia analysis. Labda kama tunamzunguzia mtu artificial na sio natural.

Mkuu I agree with you in so far as am looking for a partner to go for a night out...., lakini sio someone to live with for the rest of mylife... everyone can tell a Britney Spears from a Whoopi Gorldberge..., lakini personally (personality wise) I will go for Whoopi each and everyday.. although tamaa na lookwise my brain will tell me britney lakini my intelligence will say Whoopi.... and believe me we might have a happier marriage than you and your Britney...
 
... and the mistake we do ni kwamba we think we can change someone with bad manners during marriage but it turns out we can not..., and with time even the beauty began to deteriorate and we are left with..... (A cigarratte on an ashtray au chewing gum ambayo imeishiwa utamu) to put it plainly we are left with nothing just mzigo, imagine in your late sixties you look accross to someone you cant even stand his/her manners... you begin to think why did you fall for that....

Labda kwa kuongeza tu, la kuzingatia ni kuwa hizi tunazoita tabia mbaya/bad manners most of them sio absolute, ni relative (mimi naweza kuona its okay, lakini kwako zisiwe acceptable kabisa). Nimeona mivutano mingi sana around hili suala la perceptions (hasa kama mmetokea kwenye tamaduni zinzotofautinana sana). Hivyo ni vema kunapokuwa na tofauti ya kimtizamo kuangalia tofauti hizo kwa umakini zaidi.
 
Je unaweza kupenda kuishi na Uchoyo, Kukosa ustaarabu na ugomvi ?? au je hautapenda kuishi na mtu mwenye roho nzuri mstaarabu na muelewa.... kweli hapo kuna acceptable for some na not okay kwa others?
 
Mkuu I agree with you in so far as am looking for a partner to go for a night out...., lakini sio someone to live with for the rest of mylife... everyone can tell a Britney Spears from a Whoopi Gorldberge..., lakini personally (personality wise) I will go for Whoopi each and everyday.. although tamaa na lookwise my brain will tell me britney lakini my intelligence will say Whoopi.... and believe me we might have a happier marriage than you and your Britney...

'...my intelligence will say...'? There you are! This is what I have been talking about (information collection, analysis, decision making all in your subconscius!)
 
Je unaweza kupenda kuishi na Uchoyo, Kukosa ustaarabu na ugomvi ?? au je hautapenda kuishi na mtu mwenye roho nzuri mstaarabu na muelewa.... kweli hapo kuna acceptable for some na not okay kwa others?

Tofauti inaweza kuwa kwenye definition ya uchoyo, ustaarabu,ugomvi, roho nzuri, uelewa. Practical definitions ya vitu hivyo inaweza kuwa tofauti sana kati yangu na wewe. Kwa mfano mtu akikwambia fulani 'mchoyo' (au kitabia chochote kibaya/au kizuri), jaribu kumdodosa zaidi kwa nini anadhani ni mchoyo (au wa tabia hiyo)....halafu jaribu kufanya uchunguzi wako mwenyewe juu ya tabia hiyo anayopewa huyo mtu....utaweza kuona tafauti kubwa sana.
 
'...my intelligence will say...'? There you are! This is what I have been talking about (information collection, analysis, decision making all in your subconscius!)

Unless you will get a perfect partner mwenye vyote...., utakuja kuniambia five years from now mtakapokuwa mnafight for divorce, na kugombania mali, wakati mimi na mwenza wangu tukiangalia watoto wetu how they look like their father..., sipping drinks, laughing and thinking how blessed we are.... (Just Joking...) lakini seriously mke ni ubavu wako... a partner for life therefore you should get one carefully... lakini wa kwenda nae out weekend sina neno kabisa hapo...
 
Tofauti inaweza kuwa kwenye definition ya uchoyo, ustaarabu,ugomvi, roho nzuri, uelewa. Practical definitions ya vitu hivyo inaweza kuwa tofauti sana kati yangu na wewe. Kwa mfano mtu akikwambia fulani 'mchoyo' (au kitabia chochote kibaya/au kizuri), jaribu kumdodosa zaidi kwa nini anadhani ni mchoyo (au wa tabia hiyo)....halafu jaribu kufanya uchunguzi wako mwenyewe juu ya tabia hiyo anayopewa huyo mtu....utaweza kuona tafauti kubwa sana.

Okay... okay naona unakuwa technical.... how can you define tabia ya mme/mke mwenye tamaa na kutembea nje na wengine? au mke mwenye tamaa anayetaka matanuzi zaidi ya uwezo wenu..., na yeye hataki kuwa partner bali ni lawama tu...., je na hili ni objective.., kwamba kuna anayependa hizi shida...., au wale kina mama (bibi zetu wa zamani) wavumilivu hata ukifanya nini she still stands by her man je hapa kuna objectivity
 
VoR, nakubaliana na wewe hakuna anayependa kukaa na mtu mwenye tabia ambazo kwake hazikubaliki (au ni mbaya). Nilichoongezea ni kuwa tabia ambazo kwako hazikubaliki si lazima zikawa hazikubaliki kwa wengine pia (i.e. sio tabia mbaya in absolute terms!). Vipi kama wote mna tabia zinazofanana, say wachoyo nk...si mnaweza kuishi vizuri tu?
 
So unakubaliana na mimi when looking for a wife Uzuri usiwe kigezo..... hili liwe ni nyongeza.... Just a Bonus..., Mungu akinibariki kwamba anavyo vyote thank god..., lakini kama hajabalikiwa sura vingeni ni vya maana sana...?? au...

this should be your way forward,,,inner personality is the best thing to consider and the rest will be immaterial unless by the grace u meet someone with all personalities...........
 
Vipi kama wote mna tabia zinazofanana, say wachoyo nk...si mnaweza kuishi vizuri tu?
Mkuu hapo mkipika kuku inabidi mchungane ama sivyo wakati wa kupakua mtakuta umebaki mchuzi tu...., na kila mtu wazazi/marafiki wa mwenzake wakija inakuwa ni ugomvi...., kupakua hadi wageni waondoke..., au tuseme nyote mkiwa walevi si ndio mtakuwa mnalala bar na kuwasahau watoto walale njaa tena hapo basi kama wewe ndio hufai bora upate mke mwema wakuwa anakunyoosha... mtu bila kuwa na mke mwenye busara kufanikiwa ni vigumu sana.
 
waachah, amees,huiiih....though it is more difficult to change the physical attractiveness rather than behaviour but all in all the p.a matters always.... mvuto wa mtu sio kama vile wengi wajuavyo ni ulimbwende wa miss tz au miss world noooo.... kila mmoja anavutwa katika asili yake and what is attractive to to you it cannot be always to me okey every one has his or hers hivyo nalo lina nafasi pia...... hodii ni mimi mgeni mwenyeji.
 
VoR,
Personally,lazima nivutiwe kwanza physically,she shud be attractive then naanza kuangalia qualities zingine muhimu kama vile understanding,flexibility,smartness etc
Wanasema kipindi cha mwanzo ktk ndoa...ile romantic phase of marriage ni kipindi cha "saving"...muna save for the future spending...kwa hiyo lazima muridhiane katika kila angle.......as the time is numbered...of course kuna hali ya kuzoeana na kuonana kama kawaida,haiwezi kuwa kama romantic phase...this time munatumia ile saving..ambayo itakuwa katika sub conscious....hapa haijalishi kwamba amepata amepata kilema cha mguu,kaharibika sura etc....yale mapenzi na mahaba ya kwanza yanajenga huruma na kuzoeana..mambo yanakuwa shwari.

In short..kwangu mimi ni natural Bantu figure kwanza...then naangalia hayo mengine.
 
VoR,
Personally,lazima nivutiwe kwanza physically,she shud be attractive then naanza kuangalia qualities zingine muhimu kama vile understanding,flexibility,smartness etc

In short..kwangu mimi ni natural Bantu figure kwanza...then naangalia hayo mengine.
Mkuu kweli kabisa sikatai hata mimi nikipata mwenye vyote mungu ashukuliwe..., lakini je penye wawili mzuri mapepe au wakawaida (sababu hakuna msichana mbaya) mwenye tabia murua, caring na very kind.....
Ni yupi utamuweka ndani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom