Kwamba senior citizen ni mwana israeli? 40+ years...hakuna motokaa...🤣🤣🤣Baiskeli
Nilitaka niulize baiskeli na bajali kavisahaulia wapi?Baiskeli
Acha tu maisha magumu sana kutoboa kaziKwamba senior citizen ni mwana israeli? 40+ years...hakuna motokaa...🤣🤣🤣
Si ndio hapo sasa ahaaa nimekumbuka Jf wote tuna magari makaliNilitaka niulize baiskeli na bajali kavisahaulia wapi?
🤣🤣🤣Si ndio hapo sasa ahaaa nimekumbuka Jf wote tuna magari makali
Rice cooker
Ungeyaandika kwa kiswahili ndo tungeelewa vizuri... Haya, umiliki ni ownership au possession?Unaelewa maana ya kumiliki?
Kuna tofauti kati ya ownership na possession.
Mawinguni tunaelea hukoWenye hatuna couple tuna Kaa wapi
Hahahah tuelee tu kwakweliMawinguni tunaelea huko