Couple divorce after online 'affair' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Couple divorce after online 'affair'

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkeshahoi, Mar 12, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mambo ya Utandawazi... hebu changamsheni akili kido kwa hii:confused:

  A Zambian couple is getting divorced after finding out they had been secretly chatting each other up online under fake names.
  Joyce, 28, and husband Tom, 36, from Lusaka, poured out their hearts to each other over their marriage troubles, and both felt they had found their real soul mate.
  The couple met on an online chat forum while he was at work and she in an internet cafe, and started chatting under the names T... and Babie.
  They eventually decided to meet up - but there was no happy ending when they realised what had happened.
  Now they are both filing for divorce - with each accusing the other of being unfaithful.
  Joyce said: "I thought I had found the love of my life. The way this Babie spoke to me, the things he wrote, the tenderness in every expression was something I had never had in my marriage.
  "It was amazing, we seemed to be stuck in the same kind of miserable marriages - and how right that turned out to be.
  "We arranged to meet outside a Shoprite in Cairo road and both of us would be carrying a single rose so we would know the other.
  "When I saw my husband there with the rose and it dawned on me what had happened I was shattered. I felt so betrayed. I was so angry."
  Babie said: "I was so happy to have found a woman who finally understood me. Then it turned out that I hadn't found anyone new at all.
  "To be honest I still find it hard to believe that the person, T..., who wrote such wonderful things to me on the internet, is actually the same woman I married and who has not said a nice word to me for years.."
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Dah! hii nayo inafurahisha.Hao ni uamuzi wao wenyewe kutopendana na kuweka mambo sawa.Kama waliweza kuelezana hisia zao na kuelewana kwenye internet kwa nini wasiyafanyie kazi hayo hayo na kutengeneza?wamependa wenyewe kuvurugana.
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hiyo ngoma droo hapo wakubaliane waishi vizuri
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Few lessons:
  1.Huu ni uthibitisho kuwa couples nyingi zingepewa nafasi kurudi upya kwa sura tofauti basi wangeweza tena!

  2.Hakuna mwanaume au mwanamke mbaya..ubaya tunauumba wenyewe kwa matendo yetu tukishaanza kuishi kama mke na mume.Na ndio maana ukimtelekeza wako au kumdharau na kumuona hafai..kuna wenzio wako wanasubiri umteme wamchukue.

  3.Hawa wanandoa wawili kama wangepata chance wakapewa ushauri mzuri huenda wangeweza kurudiana tena ..ila kama walikuwa wanawakandia wenzi wao kwenye mazungumzo yao on-line basi hiyo ni sumu itakayoua/iliyoua uhusiano na kuufanya usitengamae tena.
  Hili ni fundisho jamani.
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  chakushangaza wote wapo tayari kubadilika na kwenda kufanya mabadiliko kwa mtu mwingine ila sio kwa yule mtu wake wa zamani
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Technology @ Work

  Hii ni mojawapo ya mafanikio makubwa sana ya Sayansi na Technology - at a family level to say the least -
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Hii inavutia!
  Nimeona topic moja (ya Pakajimmy), inaweza kuwa mwanzo wa mwisho unaofanana na huu!
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,577
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  mmmh hawa haina haja ya kuachana ,,maana kila mtu anajua Personal Enterest za mwenzio kupitia hisia zao online ..waanze moja katika mahusiano yao
   
 9. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tatizo la hao jamaa ni monotony ya kula iliyokaangwa kwa mtindo mmoja kila siku bila kubadilisha ili ladha iendelee kuchanganya katika umoja wao. Kumbe wangeweza kutumia mwanya huo kukaa chini na kufanya kama walivyojikuta wanaambizana kwenye kuchat.

  Hata email na sms ni hivyo pia, watu wamevunja ndoa zao sababu ya sms. Ndio maana ukitaka kutopata hypertension mapema usihangaike kuchunguza simu ya mkeo au mumeo. Acha kila mtu ahangaike na simu zake.

  Hata kipochi cha mkeo usipende sana kupekuapekua, usijepata kondom humo ukashindwa kujizuia kwa sababu wewe hutumii kondom lakini mkeo anatembea nayo. Si anakujali ndio maana? Sasa akipata dharura na hana kinga itakuwaje. Mke naye akipata kondom kwenye mfuko wa suruali au shati afurahie kwa kiasi fulani kwamba mwenzake kumbe anajali.
   
 10. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Leka,
  Inahitaji 'upeo' mkubwa sana kuelewa na kuvumilia haya!
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo hutaki tukupatie mwenza JF?? (Sema maana nilikuwa nakufikiria fikiria nikuunganishe na nai)
   
 12. RR

  RR JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  If I were him nisingeshika waridi...ningezuga na ishu nyingine kwanza ili nimwona huyo kimwana 'mpya' before I get myself into that hot soup!
   
 13. m

  mjanjamimi Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wanawake kuweni wabunifu nyumbani kwenu sio barabarani, wanaume wafanyieni wanawake zenu yale mambo mazuri na kila siku njoo na surprise.
   
 14. m

  mjanjamimi Member

  #14
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Si ndio nakwambia watu hawako innovative wanamove kama robot, wewe mjanja.
   
Loading...